Uchaguzi 2020 Mama Samia: Nakubaliana na Makongoro Nyerere, CHADEMA ni jiko la mkaa huwezi kulikumbatia ama litakuunguza au litakuchafua na masizi!

Uchaguzi 2020 Mama Samia: Nakubaliana na Makongoro Nyerere, CHADEMA ni jiko la mkaa huwezi kulikumbatia ama litakuunguza au litakuchafua na masizi!

Chokonoa tu Maana ndio Kipindi chenu Cha Uzushi,Matusi na MAJUNGU!!
 
Mngejua Vyema Misemo na Nahau za kiswahili,wala usingemshambulia mama Samia....

Kalaghabaho!!
 
Jiko la mkaa kazi yake ni kupika vitu ili viive na sio kukumbatiwa. CHADEMA, ni jiko la kuivisha agenda za haki, uhuru na maendeleo ya watu.

Sasa unalikumbatia jiko ili iweje? Hakuna jiko linafaa kukumbatiwa, iwe la gesi, umeme, mkaa nk.
Mantiki ya kauli ya Makongoro na Samia ni nini?

CCM wamezoea kukumbatiana kwenye mambo yao ya kishenzi, hivyo wanadhani kila mtu ana akili hizo hizo za kishenzi.
Naanza kupata picha mantiki ya zile sifa za ...Ni mweupeeeee!
 
Amechanganyikiwa na uroda wa Daudi Albert Bashite
Duh.!
JamiiForums1678460057.jpg
 
Mgombea mwenza wa CCM mama Samia Suluhu amesema anakubaliana na kauli ya Makongoro kwamba Chadema ni kama jiko la mkaa halikumbatiki.

Jiko la mkaa ukilikumbatia ama litakuunguza au kama halina moto litakuchafua kwa masizi.
Mama Samia alikuwa akizindua kampeni jijini DSM katika viwanja vya mwembe Yanga.

Source Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
Lisu anawarusha kichura ni yeye 2020 no story saiz tumeamua
 
Back
Top Bottom