Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Huwa mnakumbatiana na majiko huko Lumumba??Amemnukuu Makongoro Nyerere!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa mnakumbatiana na majiko huko Lumumba??Amemnukuu Makongoro Nyerere!
Amechanganyikiwa na uroda wa Daudi Albert BashiteAmemnukuu Makongoro Nyerere!
Hahaha mama kama mama, kwa kweli inapendeza sana kuwa na mgombea mwenza mwanamke.Humjui mama Samia vizuri wewe, awamu ya nne alikua kinara wa kutoa mipasho kwa upinzani bungeni. Na hii ndiyo ilikua kete yake ya kuteuliwa kuwa mgombea mwenza wa Magufuli.
Hawezi. Ataishia kususa kuendelea na kampeni tu.Atayamudu makombora yakirudishwa?
Faru John mbona anawakumbatia sana Wabunge Viti Maalum wa Chadema??Jiko la mkaa kazi yake ni kupika vitu ili viive na sio kukumbatiwa. CHADEMA, ni jiko la kuivisha agenda za haki, uhuru na maendeleo ya watu...
Unawaonea wivu? acha kukumbatia jikoFaru John mbona anawakumbatia sana Wabunge Viti Maalum wa Chadema??
ONGEZEA: Makamu wa mwenyekiti bunge la katiba, huyu ndiyo mama wa ile katiba pendekezwa iliyo chakachua report ya warioba.Humjui mama Samia vizuri wewe, awamu ya nne alikua kinara wa kutoa mipasho kwa upinzani bungeni. Na hii ndiyo ilikua kete yake ya kuteuliwa kuwa mgombea mwenza wa Magufuli.
Bwashee jiheshimu Tafadhali!Amechanganyikiwa na uroda wa Daudi Albert Bashite
Makongoro alipata kura 5 butiama alikozaliwa na anakoishi kura za maoni CCM.ndugu yake alipata kura 2 Hawa hawakubaliki hata ubalozi wa nyumba kumi kumi hawawezi kupata. Samia anamsikiliza na kumuamini ?Mgombea mwenza wa CCM mama Samia Suluhu amesema anakubaliana na kauli ya Makongoro kwamba Chadema ni kama jiko la mkaa halikumbatiki...
Kura 5 ni chache bwashee?!Makongoro alipata kura 5 butiama alikozaliwa na anakoishi kura za maoni CCM.ndugu yake alipata kura 2 Hawa hawakubaliki hata ubalozi wa nyumba kumi kumi hawawezi kupata. Samia anamsikiliza na kumuamini ?
Kigogo ni balaa,kaanza na faili la kwanza chapter one mama msaga mashine[emoji2][emoji2][SUB]Mama kakabidhiwa kwa Kigogo2014, anaendeleaje?[/SUB]
Ni kweli Mkuu. Kuna kongamano la Injili lilliloandaliwa na Kituo cha Radio Safina Arusha leo tar 6/9 kwenye viwanja vya Magereza karibu na Uwanja wa Ndege wa Kisongo. Cha ajabu ccm wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa Arusha pamoja na Assim Majaliwa wamekwenda kuuvamia na kuufanya ni wa Kisiasa.CCM ni marehemu anaetembea kwa msaada wa dola!
Aiseh , kumbe haya madaraka na ulaji yana mkondo wake !!Ha ha ha! Kwani mama kafanyaje?View attachment 1560151
Yaonekana Mama amechoka na AMANI.Jiko la mkaa kazi yake ni kupika vitu ili viive na sio kukumbatiwa.
CHADEMA, ni jiko la kuivisha agenda za haki, uhuru na maendeleo ya watu.
Sasa unalikumbatia jiko ili iweje?
Hakuna jiko linafaa kukumbatiwa, iwe la gesi, umeme, mkaa nk.
Mantiki ya kauli ya Makongoro na Samia ni nini?
CCM wamezoea kukumbatiana kwenye mambo yao ya kishenzi, hivyo wanadhani kila mtu ana akili hizo hizo za kishenzi.
Siasa ni sayansi bwashee!Ni kweli Mkuu. Kuna kongamano la Injili lilliloandaliwa na Kituo cha Radio Safina Arusha leo tar 6/9 kwenye viwanja vya Magereza karibu na Uwanja wa Ndege wa Kisongo. Cha ajabu ccm wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa Arusha pamoja na Assim Majaliwa wamekwenda kuuvamia na kuufanya ni wa Kisiasa.
Jana Kassim Majaliwa alikuwa kwenye kampeni Arusha na kampeni zao pamoja na kuwasomba watu kwa magari lkn bado haukufanikiwa kama ule wa Mh Lissu. Aibu tupu kwa ccm.
Jiko la mkaa linapika chakula,lakini unaweza kulikumbatia?Ni kichaa tu ndiyo atawaza swala la kukumbatia jiko la mkaa.
Jiko la mkaa linaheshimiwa mnoo na familia na kazi yake ni kupika chakula na sio kukumbatiwa