Mama Samia nakuhurumia kugombea uraisi 2025

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Najua nafsi yako haitaki uwe hata ulivyo Sasa kwenye nafasi ya uraisi.

Ila wahuni waneona wewe ni mteremko wanafanya mambo Yao kiulaini ndo maana wamekung'ang'ania.

2025-2030 siasa za Tanzania zitakuwa ngumu Sana Kwa mara ya Kwanza tunaweza kupata Raisi kutoka upinzani..

Na uhakika 100% hutazimudu wahuni watakuwa wameshaharibu vya kutosha.

Ni muujiza Tu utakaokufanya uishi kwa Amani tofauti na hapo kiti kitakuwa cha Moto Sana.

Naomba Uzi huu utunzwe.

Adiós.
 
Mnamnyanyapaa kwa sababu ni mwanamke?

Naona mnamuandaa Mzenji kuja kuendeleza legacy.... ipo hivi, wanaomkwamisha ndiyo wanaoutaka urais
 
Mpinzani gani anaweza kuchukua Urais Nchi hii?
Acha kuota ndoto za mchana ndugu
 
Mimi nilifurahi kuona such a smooth transition
, ukizingatia ni mwanamke kwa hilo watanzania tumekomaa.
Tatizo la huyu mama ni kwamba hajiamini. Amerudisha watu walioza. Tasisi ya Uraisi ikifanya maamuzi, haitakiwi kurudi nyuma au kumsafisha mtu; ndio maana kuna mahakama ya haki nk.
Mama is too Globalist. Sisi kwetu bado malema sana, na hawa ma-globalist ndio hatari zaidi kwa ustawi wa jamii changa duniani.

Mama sio visionary. Tukirudi kwenye point ya kwanza; haaminj kwenye maamuzi yake au upya. Yeye ndie Rais wa JMT. Ukiangalia mustakabli mnzima wa nchi na miaka ijayo ni wazi, tunahitaji katiba mpya, tunahitaji dual citizenship, tunahitaji serikali ndogo na ukuwaji wa sekta binafsi. Tunahitaji, haki sawa kwa wote bila kuangalia kabila, rangi na dini. Ila mama ndio anaona dini mbele na rangi. Yeye hana ukabila. Na sijui kwanini Waislam wanona waislam kwanza kabla kitu chochote. Sio kwa mzee ruksa wala kikwete ( Marais waislam).

Tunahitaji Rais visionary atakaye-transform nchi bila kutaka kumridhisha mtu, wala kikundi cha watu. Tunataka Rais kwaajili ya watz na sio CCM.
 
Sa

SaMahani lakini naomba nikufupishe kwakusema kwa namna muundo wa nchi yetu na sera zake Rais nikwajili ya chama chake na watu wanao unga mkono chama ... case closed
 
Ukivuka vigingingi hivi viwili maishani basi wewe ni mtu Bora na anayejuamini:
1. DINI.
2. Mila na desturi
 
Mnamnyanyapaa kwa sababu ni mwanamke?

Naona mnamuandaa Mzenji kuja kuendeleza legacy.... ipo hivi, wanaomkwamisha ndiyo wanaoutaka urais
Hili ndiyo tatizo lenu ccm masalahi,na wewe ndiyo Kati ya wale msema mada amewataja mnaomuhujumu mama

Nani anamkwamisha? Mama akifanya vibaya Kama maswalla ya tozo mnasema Kuna watu wanamkwamisha ila akifanya vizuri mnajaza nyuzi anaupiga mwingi na sifa kedekede

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Ccm bado inanguvu ......labda itachukua miaka mingi.kuiangusha

Leo bara bara zinapitika nchi nzima

Shule za kutosha .......zote ni juhudi za chama makini
 
Najua nafsi yako haitaki uwe hata ulivyo Sasa kwenye nafasi ya uraisi.

Ila wahuni waneona wewe ni mteremko wanafanya mambo Yao kiulaini ndo maana wamekung'ang'ania.

2025-2030 siasa za Tanzania zitakuwa ngumu Sana Kwa mara ya Kwanza tunaweza kupata Raisi kutoka upinzani..

Na uhakika 100% hutazimudu wahuni watakuwa wameshaharibu vya kutosha.

Ni muujiza Tu utakaokufanya uishi kwa Amani tofauti na hapo kiti kitakuwa cha Moto Sana.

Naomba Uzi huu utunzwe.

Adiós.
Hivi ukiota tu mchana, unaamka unaanza kuandika rubbish, hata kuwaza kidogo tu kuwa hiyo ndoto yako ni rubbish umeshindwa..
 
Mnamnyanyapaa kwa sababu ni mwanamke?

Naona mnamuandaa Mzenji kuja kuendeleza legacy.... ipo hivi, wanaomkwamisha ndiyo wanaoutaka urais
Mzenji gani anaandaliwa mkuu, kwani mama siyo mzenji?.

Pamoja na kuambiwa ya kesho hatuyajui ila kuna wakati unaonyeshwa hata kutokana na mienendo ilivyo, hakika nchi inatafunwa na inaliwa haswa issue ya tozo mnamuonea mtu mmoja utadhani yeye ndiye ana maamuzi wkt lazima ampelekee boss wake aridhie kwanza.
 
Mimi nilifurahi kuona such a smooth transition
, ukizingatia ni mwanamke kwa hilo watanzania tumekomaa.
Tatizo la huyu mama ni kwamba hajiamini. Amerudisha watu walioza. Tasisi ya Uraisi ikifanya maamuzi, haitakiwi kurudi nyuma au kumsafisha mtu; ndio maana kuna mahakama ya haki nk.
Mama is too Globalist. Sisi kwetu bado malema sana, na hawa ma-globalist ndio hatari zaidi kwa ustawi wa jamii changa duniani.

Mama sio visionary. Tukirudi kwenye point ya kwanza; haaminj kwenye maamuzi yake au upya. Yeye ndie Rais wa JMT. Ukiangalia mustakabli mnzima wa nchi na miaka ijayo ni wazi, tunahitaji katiba mpya, tunahitaji dual citizenship, tunahitaji serikali ndogo na ukuwaji wa sekta binafsi. Tunahitaji, haki sawa kwa wote bila kuangalia kabila, rangi na dini. Ila mama ndio anaona dini mbele na rangi. Yeye hana ukabila. Na sijui kwanini Waislam wanona waislam kwanza kabla kitu chochote. Sio kwa mzee ruksa wala kikwete ( Marais waislam).

Tunahitaji Rais visionary atakaye-transform nchi bila kutaka kumridhisha mtu, wala kikundi cha watu. Tunataka Rais kwaajili ya watz na sio CCM.
Umeharibu hapo kwenye udini wako tu
 
Kama Taifa bado tuna Safari ndefu sana
.... UJINGA, MARADHI NA UMASIKINI vinatupeleka speed kali sana...
 
Mama alianza vizuri sana sema hizi tozo ndio zinafunika mazuri yake.
 
Anayekomalia tozo anautaka uraisi.

Huyo mtu hata madaraja na mawe vinamjua kwamba anauchu na urais.

Mama atakuja kujua vizuri maana ya msemo " kikulacho....kinguoni mwako
 
Back
Top Bottom