Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
NdivyoZa ndani mitaani watu hawamuelewi Mama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdivyoZa ndani mitaani watu hawamuelewi Mama.
Amini usiamini Nachelea kusema hata wapinzani wanafurahia Utawala wa huyu Mama.Mimi nilifurahi kuona such a smooth transition
, ukizingatia ni mwanamke kwa hilo watanzania tumekomaa.
Tatizo la huyu mama ni kwamba hajiamini. Amerudisha watu walioza. Tasisi ya Uraisi ikifanya maamuzi, haitakiwi kurudi nyuma au kumsafisha mtu; ndio maana kuna mahakama ya haki nk.
Mama is too Globalist. Sisi kwetu bado malema sana, na hawa ma-globalist ndio hatari zaidi kwa ustawi wa jamii changa duniani.
Mama sio visionary. Tukirudi kwenye point ya kwanza; haaminj kwenye maamuzi yake au upya. Yeye ndie Rais wa JMT. Ukiangalia mustakabli mnzima wa nchi na miaka ijayo ni wazi, tunahitaji katiba mpya, tunahitaji dual citizenship, tunahitaji serikali ndogo na ukuwaji wa sekta binafsi. Tunahitaji, haki sawa kwa wote bila kuangalia kabila, rangi na dini. Ila mama ndio anaona dini mbele na rangi. Yeye hana ukabila. Na sijui kwanini Waislam wanona waislam kwanza kabla kitu chochote. Sio kwa mzee ruksa wala kikwete ( Marais waislam).
Tunahitaji Rais visionary atakaye-transform nchi bila kutaka kumridhisha mtu, wala kikundi cha watu. Tunataka Rais kwaajili ya watz na sio CCM.
Ccm bado inanguvu ......labda itachukua miaka mingi.kuiangusha
Leo bara bara zinapitika nchi nzima
Shule za kutosha .......zote ni juhudi za chama makini
Visionary president well said.Mimi nilifurahi kuona such a smooth transition
, ukizingatia ni mwanamke kwa hilo watanzania tumekomaa.
Tatizo la huyu mama ni kwamba hajiamini. Amerudisha watu walioza. Tasisi ya Uraisi ikifanya maamuzi, haitakiwi kurudi nyuma au kumsafisha mtu; ndio maana kuna mahakama ya haki nk.
Mama is too Globalist. Sisi kwetu bado malema sana, na hawa ma-globalist ndio hatari zaidi kwa ustawi wa jamii changa duniani.
Mama sio visionary. Tukirudi kwenye point ya kwanza; haaminj kwenye maamuzi yake au upya. Yeye ndie Rais wa JMT. Ukiangalia mustakabli mnzima wa nchi na miaka ijayo ni wazi, tunahitaji katiba mpya, tunahitaji dual citizenship, tunahitaji serikali ndogo na ukuwaji wa sekta binafsi. Tunahitaji, haki sawa kwa wote bila kuangalia kabila, rangi na dini. Ila mama ndio anaona dini mbele na rangi. Yeye hana ukabila. Na sijui kwanini Waislam wanona waislam kwanza kabla kitu chochote. Sio kwa mzee ruksa wala kikwete ( Marais waislam).
Tunahitaji Rais visionary atakaye-transform nchi bila kutaka kumridhisha mtu, wala kikundi cha watu. Tunataka Rais kwaajili ya watz na sio CCM.
Mda ni mwalimi nzuri. Sibishani na nyang'au.Hivi ukiota tu mchana, unaamka unaanza kuandika rubbish, hata kuwaza kidogo tu kuwa hiyo ndoto yako ni rubbish umeshindwa..
Sio kumnyanyapaa! Mama amewashindea Wahuni Wanaomribia is Nchi!Mnamnyanyapaa kwa sababu ni mwanamke?
Naona mnamuandaa Mzenji kuja kuendeleza legacy.... ipo hivi, wanaomkwamisha ndiyo wanaoutaka urais
...Njia Iko Wazi Kwa Mbowe! Najua Wewe na Watu Wengi Wengineo hamupendi hi y, lakini Dio Ukweli Wenyewe! Tukutane 2025....Mpinzani gani anaweza kuchukua Urais Nchi hii?
Acha kuota ndoto za mchana ndugu
Mkuu, KANU iliondoka Kila kitu kikiwepo! Na CCM nayo itaondoka TU. Tujiandae Kisakolojia....Ccm bado inanguvu ......labda itachukua miaka mingi.kuiangusha
Leo bara bara zinapitika nchi nzima
Shule za kutosha .......zote ni juhudi za chama makini
Kuna mhuni zaidi ya yule anayemshauri kwa kumshinikiza?Sio kumnyanyapaa! Mama amewashindea Wahuni Wanaomribia is Nchi!
Hapo kwenye mila na desturi ungeweka neno Ukabila ingependeza sana.Ukivuka vigingingi hivi viwili maishani basi wewe ni mtu Bora na anayejuamini:
1. DINI.
2. Mila na desturi
Hizo barabara zingetengenezwa hata bila CCM kuwapo madarakani.Ccm bado inanguvu ......labda itachukua miaka mingi.kuiangusha
Leo bara bara zinapitika nchi nzima
Shule za kutosha .......zote ni juhudi za chama makini
Fuka kweli wwMimi nilifurahi kuona such a smooth transition