The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Mnamnyanyapaa kwa sababu ni mwanamke?Najua nafsi yako haitaki uwe hata ulivyo Sasa kwenye nafasi ya uraisi.
Ila wahuni waneona wewe ni mteremko wanafanya mambo Yao kiulaini ndo maana wamekung'ang'ania.
2025-2030 siasa za Tanzania zitakuwa ngumu Sana Kwa mara ya Kwanza tunaweza kupata Raisi kutoka upinzani..
Na uhakika 100% hutazimudu wahuni watakuwa wameshaharibu vya kutosha.
Ni muujiza Tu utakaokufanya uishi kwa Amani tofauti na hapo kiti kitakuwa cha Moto Sana.
Naomba Uzi huu utunzwe.
Adiós.
Mpinzani gani anaweza kuchukua Urais Nchi hii?Najua nafsi yako haitaki uwe hata ulivyo Sasa kwenye nafasi ya uraisi.
Ila wahuni waneona wewe ni mteremko wanafanya mambo Yao kiulaini ndo maana wamekung'ang'ania.
2025-2030 siasa za Tanzania zitakuwa ngumu Sana Kwa mara ya Kwanza tunaweza kupata Raisi kutoka upinzani..
Na uhakika 100% hutazimudu wahuni watakuwa wameshaharibu vya kutosha.
Ni muujiza Tu utakaokufanya uishi kwa Amani tofauti na hapo kiti kitakuwa cha Moto Sana.
Naomba Uzi huu utunzwe.
Adiós.
SaMahani lakini naomba nikufupishe kwakusema kwa namna muundo wa nchi yetu na sera zake Rais nikwajili ya chama chake na watu wanao unga mkono chama ... case closedMimi nilifurahi kuona such a smooth transition
, ukizingatia ni mwanamke kwa hilo watanzania tumekomaa.
Tatizo la huyu mama ni kwamba hajiamini. Amerudisha watu walioza. Tasisi ya Uraisi ikifanya maamuzi, haitakiwi kurudi nyuma au kumsafisha mtu; ndio maana kuna mahakama ya haki nk.
Mama is too Globalist. Sisi kwetu bado malema sana, na hawa ma-globalist ndio hatari zaidi kwa ustawi wa jamii changa duniani.
Mama sio visionary. Tukirudi kwenye point ya kwanza; haaminj kwenye maamuzi yake au upya. Yeye ndie Rais wa JMT. Ukiangalia mustakabli mnzima wa nchi na miaka ijayo ni wazi, tunahitaji katiba mpya, tunahitaji dual citizenship, tunahitaji serikali ndogo na ukuwaji wa sekta binafsi. Tunahitaji, haki sawa kwa wote bila kuangalia kabila, rangi na dini. Ila mama ndio anaona dini mbele na rangi. Yeye hana ukabila. Na sijui kwanini Waislam wanona waislam kwanza kabla kitu chochote. Sio kwa mzee ruksa wala kikwete ( Marais waislam).
Tunahitaji Rais visionary atakaye-transform nchi bila kutaka kumridhisha mtu, wala kikundi cha watu. Tunataka Rais kwaajili ya watz na sio CCM.
Hili ndiyo tatizo lenu ccm masalahi,na wewe ndiyo Kati ya wale msema mada amewataja mnaomuhujumu mamaMnamnyanyapaa kwa sababu ni mwanamke?
Naona mnamuandaa Mzenji kuja kuendeleza legacy.... ipo hivi, wanaomkwamisha ndiyo wanaoutaka urais
Ccm mmeupalalayse upinzani alafu mnakuja mitandaoni kuwananga..unafiki huuMpinzani gani anaweza kuchukua Urais Nchi hii?
Acha kuota ndoto za mchana ndugu
Hivi ukiota tu mchana, unaamka unaanza kuandika rubbish, hata kuwaza kidogo tu kuwa hiyo ndoto yako ni rubbish umeshindwa..Najua nafsi yako haitaki uwe hata ulivyo Sasa kwenye nafasi ya uraisi.
Ila wahuni waneona wewe ni mteremko wanafanya mambo Yao kiulaini ndo maana wamekung'ang'ania.
2025-2030 siasa za Tanzania zitakuwa ngumu Sana Kwa mara ya Kwanza tunaweza kupata Raisi kutoka upinzani..
Na uhakika 100% hutazimudu wahuni watakuwa wameshaharibu vya kutosha.
Ni muujiza Tu utakaokufanya uishi kwa Amani tofauti na hapo kiti kitakuwa cha Moto Sana.
Naomba Uzi huu utunzwe.
Adiós.
Mzenji gani anaandaliwa mkuu, kwani mama siyo mzenji?.Mnamnyanyapaa kwa sababu ni mwanamke?
Naona mnamuandaa Mzenji kuja kuendeleza legacy.... ipo hivi, wanaomkwamisha ndiyo wanaoutaka urais
Umeharibu hapo kwenye udini wako tuMimi nilifurahi kuona such a smooth transition
, ukizingatia ni mwanamke kwa hilo watanzania tumekomaa.
Tatizo la huyu mama ni kwamba hajiamini. Amerudisha watu walioza. Tasisi ya Uraisi ikifanya maamuzi, haitakiwi kurudi nyuma au kumsafisha mtu; ndio maana kuna mahakama ya haki nk.
Mama is too Globalist. Sisi kwetu bado malema sana, na hawa ma-globalist ndio hatari zaidi kwa ustawi wa jamii changa duniani.
Mama sio visionary. Tukirudi kwenye point ya kwanza; haaminj kwenye maamuzi yake au upya. Yeye ndie Rais wa JMT. Ukiangalia mustakabli mnzima wa nchi na miaka ijayo ni wazi, tunahitaji katiba mpya, tunahitaji dual citizenship, tunahitaji serikali ndogo na ukuwaji wa sekta binafsi. Tunahitaji, haki sawa kwa wote bila kuangalia kabila, rangi na dini. Ila mama ndio anaona dini mbele na rangi. Yeye hana ukabila. Na sijui kwanini Waislam wanona waislam kwanza kabla kitu chochote. Sio kwa mzee ruksa wala kikwete ( Marais waislam).
Tunahitaji Rais visionary atakaye-transform nchi bila kutaka kumridhisha mtu, wala kikundi cha watu. Tunataka Rais kwaajili ya watz na sio CCM.
Hakuna cha kunyanyapaliwa! Limefeli pakubwa! Njia ilikuwa imetengenezwa na Magu ilikuwa kiasi cha kupita milele tu! Sasa hivi utumishi umerudi kule kule! Hovyo kabisa!Mnamnyanyapaa kwa sababu ni mwanamke?
Naona mnamuandaa Mzenji kuja kuendeleza legacy.... ipo hivi, wanaomkwamisha ndiyo wanaoutaka urais
Tozo ni mtego ametengenezewa na wahuni ili akose mvuto kisiasa.Mi ananiudhi tozo
Kama hawana nguvu 2020 mliwapora form kwanini?Mpinzani gani anaweza kuchukua Urais Nchi hii?
Acha kuota ndoto za mchana ndugu