Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Kabisa, nakumbuka pia akiongea na kina mama pale Dodoma Aliwaambia "msiwe wanyonge" maana yake unyonge ni udhaifuHayo ameyasema wakati akihutubia wananchi wa eneo la Busisi wilayani Sengerema wakati wa ukaguzi wa daraja la Magufuli lenye urefu wa zaidi kilomita zaidi tatu. Je unyonge wa watanzania umeanza kukemewa na kuwafanya wenye nguvu ndani ya taifa lao? hakika hili jina la wanyonge mi mwenyewe lilikuwa linanitibua sana.
Walidhani kuitwa mnyonge ni sifa positive kumbe ni sifa negative kabisa,huu ni uendawazimu na ujinga wa hali ya juu sana. Mungu asingeingilia kati tulikuwa tunaelekea Sobibo au Jehanamu kabisa.Hayo ameyasema wakati akihutubia wananchi wa eneo la Busisi wilayani Sengerema wakati wa ukaguzi wa daraja la Magufuli lenye urefu wa zaidi kilomita zaidi tatu. Je unyonge wa watanzania umeanza kukemewa na kuwafanya wenye nguvu ndani ya taifa lao? hakika hili jina la wanyonge mi mwenyewe lilikuwa linanitibua sana.
😂😂😂😂Wenyewe wanakasirika kweli wakiambiwa wasiwe wanyonge 😃😃😃 walikuwa wanapenda kweli kuitwa wanyonge.
Hao wengine waliifanyia nini Tanzania ambacho ni cha kipekeeWalidhani kuitwa mnyonge ni sifa positive kumbe ni sifa negative kabisa,huu ni uendawazimu na ujinga wa hali ya juu sana. Mungu asingeingilia kati tulikuwa tunaelekea Sobibo au Jehanamu kabisa...
Chanzo ni hawa hapahakika hili jina la wanyonge mi mwenyewe lilikuwa linanitibua sana.
Rais wa wanyonge.Na ni nani aliyekuwa anasema watanzania tutembee vifua mbele yaani tujivunie kuwa watanzania
Vipi CCM hawaja kwenda kumuona? Maana Chuma mbowe muda huu Yuko mahakama kuu Mbeya kwa MdudeNamshukuru Mungu sikuwa kuwa mnyonge na sikuwahi kukubali kuitwa mnyonge na hata mtu akijiita mnyonge huwa namwona ndio shida wa maendeleo by Magufuli. hata ukiamka sasa hivi hutaamini kila kitu umebadilika na hata Sabaya yuko magereza/mahabusu huko
Haa haaa Samia angeongezea kunyoosha maelezo msiwe wanyonge kama Nape 😂😂
Nape alikwenda kuungama dhambi zake kwa yesu wa Chattle.