Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Msimamo wa Rais Samia Suluhu sasa unaanza kueleweka vizuri.
Yale tuliykuwa tukilalamika mitandaoni kutwa kuchwa ameanza kuyashghulikia bila kupepesa macho wala kupoteza muda.
Tlilia kuwa kuna juhudi za makhsusu za kwafilisi wazalendo walipa kodi, laki wengine walikejeli na hata Waziri Mwigulu Nchemba alidhihaki kwa kusema wafanya biashara ni wezi wakwepa kodi wakubwa.
Sasa ni dhahiri , walipa kodi wegi walifunga biashara na wale weye mitaji mikubwa waliihamishia nchi za nje.
Mama Samia amanza vizuri kwanza kwa kuwapiga chini vinara wa kuziba midomo ya malalamiko ya wananchi. Eng Kilaba na Dr Abbas, na yule wa TRA inabidi waone aibu kwa jinsi AKILI inavyoweza kutumika kwa maufaa badala ya MAGUVU. Hata kumwondoa Profesa Kabudi inabidi kupongezwe maana alikuwa na msimamo hasi juu ya uwekezaji toka nje. Lugha ya "mabeberu" sasa itapumzika
Sasa kinachotia shaka ni wale walioshabikia kuua biashara wengine ndio hao hao utawakuta kweye madeski yale yale.
Mfano ni Mwigulu na wengine kama yeye.
Siyo siri, hatuna imani naye.
Serikali isafishwe.