Mama Samia, piga chini wale wote walioshiriki kuhujumu uchumi, uwekezaji na biashara!

Ulimuelewa aliposema kuna wafanyabiashara walikuwa wamepewa certificates za kodi miaka mitano iloyopita halafu wanakuja kufunguliwa tena madai ya malimbikizo ya kodi?
TRA ni matapeli!
 
Mwigullu anabadirika kama kinyonga wala usimhofie.
Na wala hakuwai kuwa na furaha na ule ufalme uliopita hivyo hana intention yoyote ya kudumisha fikra za jiwe.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ni vizuri wengi wao wakabadilishwa ili kuleta tumaini jipya.
Watu walioshabikia matatzo ya wafanyabiashara na kuwaita wezi, hawawezi tena kuwa watetezi wa biashara huru, au free market.
Hawa lazima waondolewe maana mioyoni mwao hawana dhamira ya kweli.
 
Ulimuelewa aliposema kuna wafanyabiashara walikuwa wamepewa certificates za kodi miaka mitano iloyopita halafu wanakuja kufunguliwa tena madai ya malimbikizo ya kodi?
Ubabaishaji, Magu aliingia kichwa kichwa,laiti angempa msaidizi wake majukumu hayo labda sifa za wizara ya pesa ingekuwa na hati safi . Lakini hadi mawaziri, katibu mkuu,TRA wameondoshwa at the same time kuna walakini,ni aibu.
 
Wadanganyika kama wadanganyika.. imani potofu kwa listless
 
Bila shaka haya mahusiano siyo ya kutuhubiria Tanzania ni masikini na kwamba bila wafadhiri hamna tunachoweza.
Akiyasema haya hatutamwelewa

KPI tuliyoachiwa inasema Tanzania ni tajiri tunachotakiwa ni kujitambua tu
 

You aren’t being realistic here! Hivi Wabongo wa tangu enzi za Mwalimu umeshawasahau kabisa? Kama kuna ukweli wowote juu ya any wrongdoing, huyu Rais anawezaje kupona wakati alikuwa second in command?

Ukishindwa kujitenga na any wrongdoing, you’re complicit. Trying to blacklist certain underlings who served alongside you is hypocrisy!
 
Unasahau kuwa tulikua katika stage ya quasi-dictatorship.
Hata waliokuwa chini ya JPM hawakuthubutu kunyanyua mdomo kwa kuogopa si kufukuzwa kazi tu, bali kuzushiwa kesi za aina mbali mbali kama vile uhujumu , na uhujumu uchumi.
Nafikri unaona hivi sasa hata kina Kigwangala ndio wanapata sauti ya kuongea.

Now people are feeling the sense of freedom, waliyozoea miaka mingi.

Vile vile unsahau kuwa Mama Samia yuko pale kwa mujibu wa katiba, na jukumu analotegemewa na wananchi ni kusafisha uozo wa yale ambayo halikuwa hayapendezi.

Tusipepese macho tumwunge mkono Mama Samia atekeleze kile tunachotaka wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…