johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amesema Rais Magufuli ni mzalendo kwa maneno na matendo, ni mtu anayetambua mamlaka yake na asiyekubali kushindwa katika lile analoliamini.
Mama Samia alikuwa akijibu swali la mwandishi wa BBC aliyetaka kujua yeye kama msaidizi namba moja wa Rais Magufuli, anamwelezeaje boss wake?
Mama Samia amesisitiza kuwa Rais Magufuli anapenda kuona wateule wake wakiwa wabunifu na kufanya kazi bila kusukumwa sukumwa.
Source BBC Dira ya Dunia
Maendeleo hayana vyama!