johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Wewe uliye full set kichwani ulishashika wadhifa gani hapa bongo?
Wewe ndio hiyo mama sio ???Wewe uliye full set kichwani ulishashika wadhifa gani hapa bongo?
Kakushinda maarifa dume zima ndo maana anakuongoza.Wewe ndio hiyo mama sio ???
Una hamu ya kupewa ile kazi ya miezi 9 sio ??? Sasa jilengeshe tu uanze kuhudhuria clinic.
Swiiiiiinee
Sent using Jamii Forums mobile app
Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amesema Rais Magufuli ni mzalendo kwa maneno na matendo, ni mtu anayetambua mamlaka yake na asiyekubali kushindwa katika lile analoliamini.
Mama Samia alikuwa akijibu swali la mwandishi wa BBC aliyetaka kujua yeye kama msaidizi namba moja wa Rais Magufuli, anamwelezeaje boss wake?
Mama Samia amesisitiza kuwa Rais Magufuli anapenda kuona wateule wake wakiwa wabunifu na kufanya kazi bila kusukumwa sukumwa.
Source BBC Dira ya Dunia
Maendeleo hayana vyama!
Au akiamini ushirikina basi hataki kushindwa katika hilo! Ndio shida ya kujibu majibu ambayo unalazimisha moyo ujibu, lakini uko tofauti"Hakubali kushindwa katika lile analoliamini" hapo si hoja.
Tatizo, anaamini nini?
Maana mtu anaweza kuwa hakubali kushindwa katika uongo vile vile, na yeye anaamini uongo.