FIKRA MAKINI
New Member
- Jul 3, 2021
- 3
- 3
Kwa sasa anaye jua hizi bei na uhaba wa baadhi ya bidhaa atuambie tunaelekea wapi gesi Arusha ni pasua kichwa mtungi mdogo 25000, cement haipo na ukipata ni 18000, chumvi imepanda, mafuta ya kula lita 5 ni 30k, petrol na dieasel uko hatusemi, nondo nazo zimepanda bati ndio kasheshe kabisa, jamani serikali mnaelekea wapi na hizi bei