Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
🤣🤣🤣🤣Kwani kujua kiingereza ndiyo kuwa kiongozi bora! Endelea kubeba mabox na kuosha vibibi vizee huko!
Mwenye kujua, mwenye video zake akitema yai,
Kiingereza ni kiswahili cha dunia, ukiwa na madaraka halafu umepata elimu yako kwa lugha hiyo, ni aibu na fedheha kutokuijua fullstop.Slavery mentality!
💪💪 📦Nyani Ngabu wewe endelea kubeba mabox uko stastes,usituchanganye sisi tuna mambo yetu uku Bongo.
Huyu mimi nilimuona akiwa Afisa elimu kule Singida; sijui kama ngeli inapanda sijawahi kumshuhudia! Mataga hawathamini intenational relations, they belive in living in AUTARKY hence kutema YAI sio muhimu!Na Kasimu Majaliwa naye je?
Warusi, wachina, wakorea je? Ukiwa na akili za kitumwa kama zako huwezi kujikomboa. Kama wewe utaendelea kutoa mapovu humu JF kujikomboa kutoka akili za kitumwa itakuwa ni ndoto za Alinacha!!Kiingereza ni kiswahili cha dunia, ukiwa na madaraka halafu umepata elimu yako kwa lugha hiyo, ni aibu na fedheha kutokuijua fullstop.
Kweli nilidanganya.Poor Nyani Ngabu! Kuna siku uliandika makala Moja kuhusu taratibu za ikulu kabla ya hapo ukagusia kwamba Elimu yako ni ya kidato cha nne. Kuna mambo mawili hapo ulidanganya na ukweli uliishia darasa la saba au kidacho cha nne ulipata ziro ambayo ni Sawa na darasa la saba tu!
Nyani Ngabu unaonaje ukiwa unasoma nyuzi tu au kuchangia kuliko kuendelea kujidhalilisha kwa kuanzisha mautumbo humu na kutujazia seva.
Hey, we are having fun over here.kama mlitumia nguvu kubwa kutetea mapungufu mengi ya mtu wenu ikiwemo mapungufu yake ya kuzungumza kingereza kwa ufasaha, basi tumieni nguvu ileile kumtetea huyo mama.
Warusi, wachina, wakorea je? Ukiwa na akili za kitumwa kama zako huwezi kujikomboa. Kama wewe utaendelea kutoa mapovu humu JF kujikomboa kutoka akili za kitumwa itakuwa ni ndoto za Alinacha!!