Cherenganya
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 2,309
- 1,785
Kwenye moja Kati ya nyuzi humu uliandika kuhusu utaratibu wa uteuzi kishapo ukagusia Elimu yako kuwa ni kidato cha nne...
Kwa kipindi kile kama nilishawishika kukubali labda ila kwa hili la leo, nadhani hata hicho kidato cha nne ulidanganya au ulipata Zero ambayo ni sawa na darasa la saba...
USHAURI
Ifike pahala Nyani awe ana changia nyuzi zilizokuwa constructed na watu tena zile za umbea na vichekesho pekee.
Lakini hili la kuendelea kujidhalilisha na kuandika vitu ambavyo vinakuchojoa nguo kila siku tunaomba mapumziko tafadhali.