Mama Samia Suluhu anajua kuongea Kiingereza?

Mama Samia Suluhu anajua kuongea Kiingereza?

Anapiga ngeli nzuri sana.
binafsi sikuwahi kumsikiaga mzee Mwinyi akiongea kingereza siku niliyosikia kingereza chake kimenyooka hatari. Mama Samia nimemsikia akiongea, kimenyooka ila cha kipole pole vilele kama anavyoongea kiswahili...
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Anapiga ngeli nzuri sana.
binafsi sikuwahi kumsikiaga mzee mwinyi akiongea kingereza siku niliyosikia kingereza chake kimenyooka hatari. Mama samia nimemsikia akionge, kimenyooka ila cha kipole pole vilele kama anavyoongea kiswahili...
😀😀😀
Yes.

Mzee Mwinyi si haba.
 
Hey peeps, let’s have some little fun....shall we?

Si vibaya kuuliza kama Mama Samia anajua Kiingereza [emoji1787].

Kwa ‘kujua’ namaanisha ana uwezo wa kuongea Kiingereza kizuri, kinachoeleweka, na kilichonyooka.

Mama Samia nishawahi kumsikia akitumia maneno mawili matatu kwa kuyachomekea katikati ya Kiswahili.

Haikuwa fursa nzuri ya kupima uwezo wake.

Mwenye kujua, mwenye video zake akitema yai, n.k., hebu tuwekeeni hapa tuone.

Na Kasimu Majaliwa naye je?
Vid hii hapa akiongea kimombo.
 
Warusi, wachina, wakorea je? Ukiwa na akili za kitumwa kama zako huwezi kujikomboa. Kama wewe utaendelea kutoa mapovu humu JF kujikomboa kutoka akili za kitumwa itakuwa ni ndoto za Alinacha!!
Umemuelewa?
 
Huu uzi bila kavideo hautanoga ati![emoji1][emoji1][emoji1]
View attachment 1726688

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji95][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Warusi, wachina, wakorea je? Ukiwa na akili za kitumwa kama zako huwezi kujikomboa. Kama wewe utaendelea kutoa mapovu humu JF kujikomboa kutoka akili za kitumwa itakuwa ni ndoto za Alinacha!!
Ginehe,unamhala omishaga ?
 
Anapiga ngeli nzuri sana.
binafsi sikuwahi kumsikiaga mzee mwinyi akiongea kingereza siku niliyosikia kingereza chake kimenyooka hatari. Mama samia nimemsikia akionge, kimenyooka ila cha kipole pole vilele kama anavyoongea kiswahili...
😀😀😀
Huyu huyu Mwinyi mwenye diploma ya kiswahili alhaj dingi yake Rais wa zenj?
 
Warusi, wachina, wakorea je? Ukiwa na akili za kitumwa kama zako huwezi kujikomboa. Kama wewe utaendelea kutoa mapovu humu JF kujikomboa kutoka akili za kitumwa itakuwa ni ndoto za Alinacha!!

Mkuu vipi?? Hizo nchi ulizozitaja hazitumii kiingereza katika mifumo yao ya kisheria wala kiutendaji wala kielimu. Tanzania Mahakama kuu, Hansad, Mikataba na Elimu yetu hutumia lugha hiyo.

Unayemwita mtumwa sio mtumwa. Sijui unashindwaje kufanya reasoning ya wazi namna hii, mambo magumu unaweza kweli kuyapembua???

Kwa hiyo unasema kwa kuwa Prof. Kabudi anazungumza kiingereza bado hajajikomboa??
 
Back
Top Bottom