Kweli wewe ni nyani ngabu, huna tofauti na wale watumwa wa Kenya ambao kwao kujua kuongea kiingereza chenye lafudhi mbovu na kumiliki smart phone basi unakuwa umeyapatia maisha haswaaa....Kimekusaidia kuandika “bull shiit” [emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wewe ni nyani ngabu, huna tofauti na wale watumwa wa Kenya ambao kwao kujua kuongea kiingereza chenye lafudhi mbovu na kumiliki smart phone basi unakuwa umeyapatia maisha haswaaa....Kimekusaidia kuandika “bull shiit” [emoji1787][emoji1787]
Wasiojua lugha ya malkia utawajua kwa povu la kupinga kiingereza kumbe hata Kiswahili hajui. Pole ndugu.Warusi, wachina, wakorea je? Ukiwa na akili za kitumwa kama zako huwezi kujikomboa. Kama wewe utaendelea kutoa mapovu humu JF kujikomboa kutoka akili za kitumwa itakuwa ni ndoto za Alinacha!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huu uzi bila kavideo hautanoga ati!😄😄😄
View attachment 1726688
Kiingereza hakikwepeki! We mwenyewe umeshindwa kuandika Kiswahili cha ‘smart phone’.Kweli wewe ni nyani ngabu, huna tofauti na wale watumwa wa Kenya ambao kwao kujua kuongea kiingereza chenye lafudhi mbovu na kumiliki smart phone basi unakuwa umeyapatia maisha haswaaa....
Unasema???Yani mtu unaondoka duniani bila kujua kiingereza? Wasted life kabisa.
Aisee achana na Huyu mama.Ongea mambo mengine,mimi sio cicemi kabisa,ila huyu mama tunamkubali hana makuu kabisa.Hey peeps, let’s have some little fun....shall we?
Si vibaya kuuliza kama Mama Samia anajua Kiingereza [emoji1787].
Kwa ‘kujua’ namaanisha ana uwezo wa kuongea Kiingereza kizuri, kinachoeleweka, na kilichonyooka.
Mama Samia nishawahi kumsikia akitumia maneno mawili matatu kwa kuyachomekea katikati ya Kiswahili.
Haikuwa fursa nzuri ya kupima uwezo wake.
Mwenye kujua, mwenye video zake akitema yai, n.k., hebu tuwekeeni hapa tuone.
Na Kasimu Majaliwa naye je?
Mayu kinehe ihali ya nkulu wise?Ginehe,unamhala omishaga ?
Hakikwepeki kivipi, ni watanzania wangapi hawajui kichina ambacho ukifuatilia biashara inayofanyika kati ya china na afrika na hata uwekezaji wa china afrika na hata ulaya na marekani ni wa kutisha, maana yake china ndo ina emerge kama world superpower, na data za hivi karibuni zinaonyesha uchumi wake ulikua kwa 3.5% wakati mataifa mengine makubwa yalipata negative growth kutokana na janga la korona. Kwa hiyo utaona kama kuna umuhimu wa kujua lugha za kigeni, basi watu wengi wangejifunza kichina..Kiingereza hakikwepeki! We mwenyewe umeshindwa kuandika Kiswahili cha ‘smart phone’.
Warusi, wachina, wakorea pamoja na kutumia lugha zao hawajawahi dharau Kiingereza wanakigonga vizuri sana lakini pia hawatembezi bakuli kuomba kujengewa vyoo wala kuomba pesa za tohara.Warusi, wachina, wakorea je? Ukiwa na akili za kitumwa kama zako huwezi kujikomboa. Kama wewe utaendelea kutoa mapovu humu JF kujikomboa kutoka akili za kitumwa itakuwa ni ndoto za Alinacha!!
Umeshupaa kubisha wakati hata kuandika Kiswahili kitupu bila kuchanganya na Kiingereza umeshindwa!!!Hakikwepeki kivipi, ni watanzania wangapi hawajui kichina ambacho ukifuatilia biashara inayofanyika kati ya china na afrika na hata uwekezaji wa china afrika na hata ulaya na marekani ni wa kutisha, maana yake china ndo ina emerge kama world superpower, na data za hivi karibuni zinaonyesha uchumi wake ulikua kwa 3.5% wakati mataifa mengine makubwa yalipata negative growth kutokana na janga la korona. Kwa hiyo utaona kama kuna umuhimu wa kujua lugha za kigeni, basi watu wengi wangejifunza kichina..
Google inatutoa wengi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣just sayingKuna haja gani ya kutumia idiom?. ungeweza tu kuandika "don't become angry", bado ningekuelewa vizuri tu.
Kama hujui kuongea kiingereza hata ukaiandikiwa huwezi kusoma vizuri.Hii ya kusoma si kitu!
Kuna iliyo impromptu au extemporaneous....??
HUyo huyoHuyu huyu Mwinyi mwenye diploma ya kiswahili alhaj dingi yake Rais wa zenj?
Naongezea na jiwe je?Hey peeps, let’s have some little fun....shall we?
Si vibaya kuuliza kama Mama Samia anajua Kiingereza [emoji1787].
Kwa ‘kujua’ namaanisha ana uwezo wa kuongea Kiingereza kizuri, kinachoeleweka, na kilichonyooka.
Mama Samia nishawahi kumsikia akitumia maneno mawili matatu kwa kuyachomekea katikati ya Kiswahili.
Haikuwa fursa nzuri ya kupima uwezo wake.
Mwenye kujua, mwenye video zake akitema yai, n.k., hebu tuwekeeni hapa tuone.
Na Kasimu Majaliwa naye je?
"Uhakika" kiasi gani mkuu, asilimia 5, 10, 50 au 90 hivi?Nina uhaika mwenyezi Mungu ameamua kutupunguzia majonzi yetu
Ni kipindi sasa cha kujipanga upya kama taifa.
Kuhusu Samia wengi tuna wasiwasi na uwezo wake!! Wacha tuone
Anapiga ngeli nzuri sana.
binafsi sikuwahi kumsikiaga mzee Mwinyi akiongea kingereza siku niliyosikia kingereza chake kimenyooka hatari. Mama Samia nimemsikia akiongea, kimenyooka ila cha kipole pole vilele kama anavyoongea kiswahili...
[emoji3][emoji3][emoji3]