Mama Samia Suluhu anajua kuongea Kiingereza?

Mama Samia Suluhu anajua kuongea Kiingereza?

Ana afadhali kulinganisha na cha magufuli. Yule msukuma hata chakuandikiwa hawezi kusoma [emoji1787]
 
Warusi, wachina, wakorea pamoja na kutumia lugha zao hawajawahi dharau Kiingereza wanakigonga vizuri sana lakini pia hawatembezi bakuli kuomba kujengewa vyoo wala kuomba pesa za tohara.
Sasa ukitaka kujua kama kiingereza lugha ya dunia au la muulize Mzee wetu anapo omba mikopo bank ya dunia huwa anaandika kwa lugha gani?
Hujui kitu! Pumzika!
 
Hey peeps, let’s have some little fun....shall we?

Si vibaya kuuliza kama Mama Samia anajua Kiingereza [emoji1787].

Kwa ‘kujua’ namaanisha ana uwezo wa kuongea Kiingereza kizuri, kinachoeleweka, na kilichonyooka.

Mama Samia nishawahi kumsikia akitumia maneno mawili matatu kwa kuyachomekea katikati ya Kiswahili.

Haikuwa fursa nzuri ya kupima uwezo wake.

Mwenye kujua, mwenye video zake akitema yai, n.k., hebu tuwekeeni hapa tuone.

Na Kasimu Majaliwa naye je?
Boris Johnson anajua kiswahili?
 
Duh huu uzi sio wakuwasilishwa na mtu mwenye weledi na jamvi hili kama nyani , kwahili ndugu umejidhalilisha zamani ulikua na nyuzi za maana sijui unazeeka sasa
 
Watu wamepanda jazba baada ya swali hili kuulizwa...!

Inawezekana 90% ya Viongozi wetu tunaowaita ni wasomi hawajui kiingereza ndio maana huwa wanakwepa international meetings, wanatuonea na kujidai tu hapa bongo

Inashangaza mtu kusoma kwa lugha ya kiingereza tangu awali then anakuwa kiongozi wa Taifa, means anakutana na mataifa mengine then hajui international language. Na wengine eti wamesoma nje wanakozungumza lugha hiyo officially na mtaani

Hawa wasomi wa kukariri bana, balaa tupu
 
Aisee nawewe bana, Mtu kuuliza swali la kawaida ni kutuchanganya.

BTW, hata mimi nilikuwa natamani sana kujua kama hawa wawili wanajua kiingereza vizuri au ni Mkuu tu ndio alikuwa akisemwa.

Je wanajua kuzungumza kiingereza? Ndio swali la msingi hapa.
Mmoja anajua kwa ufasaha zaidi ya mwingine.
 
Anapiga ngeli nzuri sana.
binafsi sikuwahi kumsikiaga mzee Mwinyi akiongea kingereza siku niliyosikia kingereza chake kimenyooka hatari. Mama Samia nimemsikia akiongea, kimenyooka ila cha kipole pole vilele kama anavyoongea kiswahili...
[emoji3][emoji3][emoji3]
Bashite naye vipi mkuu ngeli yake?
 
Hey peeps, let’s have some little fun....shall we?

Si vibaya kuuliza kama Mama Samia anajua Kiingereza [emoji1787].

Kwa ‘kujua’ namaanisha ana uwezo wa kuongea Kiingereza kizuri, kinachoeleweka, na kilichonyooka.

Mama Samia nishawahi kumsikia akitumia maneno mawili matatu kwa kuyachomekea katikati ya Kiswahili.

Haikuwa fursa nzuri ya kupima uwezo wake.

Mwenye kujua, mwenye video zake akitema yai, n.k., hebu tuwekeeni hapa tuone.

Na Kasimu Majaliwa naye je?


Wewe hapo kimekusaidia nini kiingereza mkuu? Si ndio nyie wengi wenu mnaangukia kuajiriwa na wa darasa la 7 na form 4, ambao hata kiingereza hawakijui!!
 
Kiingereza ni kiswahili cha dunia, ukiwa na madaraka halafu umepata elimu yako kwa lugha hiyo, ni aibu na fedheha kutokuijua fullstop.

Puttin, Raisi wa china na kim wanajua kiingereza? Au mliambia ukijua kiingereza ndio utapata mafanikio/uchumi utakuwa kwa haraka?


Wewe unaeongea kiingereza umefaidikachk nini!! Si ndio nyie wengi wenu mnaishia kuomba omba mitaani/kuajiriwa na ambao wameishia std7 na form 4!!! Au sio nyie!!!!
 
Old school hamna kitu huyo
Huyu mimi nilimuona akiwa Afisa elimu kule Singida; sijui kama ngeli inapanda sijawahi kumshuhudia! Mataga hawathamini intenational relations, they belive in living in AUTARKY hence kutema YAI sio muhimu!
 
Mtu mweusi huwa ananichosha akili 😄😄 akijua kuongea kiingereza anajiona ndio the king....wasukuma tunasema "Mashkolo mageni" au kipofu kaona mwezi 😂
 
Warusi, wachina, wakorea je? Ukiwa na akili za kitumwa kama zako huwezi kujikomboa. Kama wewe utaendelea kutoa mapovu humu JF kujikomboa kutoka akili za kitumwa itakuwa ni ndoto za Alinacha!!
Umeelewa lakini alichosema? Maana elimu ni ya mtaala wa kiingereza sasa usipojua kuna walakini.
 
Back
Top Bottom