Mama Samia Suluhu anajua kuongea Kiingereza?

Mama Samia Suluhu anajua kuongea Kiingereza?

PhD ya kuhonga, ningeitaka hiyo baada ya degree yangu ya sanaa, ningekuwa nazo hata mia. Viongozi wote waliongia kupata elimu hapa nchini wakiwa na madaraka fulani, wametumia madaraka yao na udhaifu wa mfumo kupata shahada zao, na sio uwezo wao kweli toka kwenye bongo zao. Huu ni ukweli unaokera we bwabwa.
Kwa bahati mbaya sana, huo ndio ukweli wenyewe; na aibu kubwa kwa vyuo vyetu.

Nimejaribu kufikiria kiongozi wa kumtplea mfano, aliye tofauti na hawa sikumpata!
 
Mama anaongea ile "RP" yaan Received Pronunciation kama ya kwa bibi pale Westminster city
 
Kuna ubaya gani mimi kuandika hivyo nilivyoandika?

Mbona ni msemo wa kawaida sana huo...

Au umekutoa jasho hadi umeenda ku Google?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakikwepeki kivipi, ni watanzania wangapi hawajui kichina ambacho ukifuatilia biashara inayofanyika kati ya china na afrika na hata uwekezaji wa china afrika na hata ulaya na marekani ni wa kutisha, maana yake china ndo ina emerge kama world superpower, na data za hivi karibuni zinaonyesha uchumi wake ulikua kwa 3.5% wakati mataifa mengine makubwa yalipata negative growth kutokana na janga la korona. Kwa hiyo utaona kama kuna umuhimu wa kujua lugha za kigeni, basi watu wengi wangejifunza kichina..
We unahisi usuperpower ni uchumi tu wa makaratasi jidanganye. Mchina miaka buku hawezi kuwa super power hana ushawishi wowote hasa mambo ya kijamii kama culture. Nani anashobokea kichina? Nani anavaa nguo za kichina? Wao wenyewe bidhaa wanazotegemea ni kuchakachua za west.
 
Hey peeps, let’s have some little fun....shall we?

Si vibaya kuuliza kama Mama Samia anajua Kiingereza [emoji1787].

Kwa ‘kujua’ namaanisha ana uwezo wa kuongea Kiingereza kizuri, kinachoeleweka, na kilichonyooka.

Mama Samia nishawahi kumsikia akitumia maneno mawili matatu kwa kuyachomekea katikati ya Kiswahili.

Haikuwa fursa nzuri ya kupima uwezo wake.

Mwenye kujua, mwenye video zake akitema yai, n.k., hebu tuwekeeni hapa tuone.

Na Kasimu Majaliwa naye je?
Kwa mama samia,namfahamu tokea akiwa waziri kuke zanzibar,anafahamu vizuri sio kama yule jamaa wa font fed,huyu majaaliwa sijui maana ni mwalimu kadoma chuo kikuu cha udsm na ni kocha wa mpira
 
Huyu mimi nilimuona akiwa Afisa elimu kule Singida; sijui kama ngeli inapanda sijawahi kumshuhudia! Mataga hawathamini intenational relations, they belive in living in AUTARKY hence kutema YAI sio muhimu!
Hakuwa Afisa Elimu,bali katibu wa CWT Mkoa kabla hajala shavu ya ukuu wa wilaya
 
Nina uhaika mwenyezi Mungu ameamua kutupunguzia majonzi yetu

Ni kipindi sasa cha kujipanga upya kama taifa.

Kuhusu Samia wengi tuna wasiwasi na uwezo wake!! Wacha tuone
Wacha Mungu aitwe Mungu
 
Nyani Ngabu wewe endelea kubeba mabox uko stastes, usituchanganye sisi tuna mambo yetu uku Bongo.
Aisee nawewe bana, Mtu kuuliza swali la kawaida ni kutuchanganya.

BTW, hata mimi nilikuwa natamani sana kujua kama hawa wawili wanajua kiingereza vizuri au ni Mkuu tu ndio alikuwa akisemwa.

Je wanajua kuzungumza kiingereza? Ndio swali la msingi hapa.
 
Hey peeps, let’s have some little fun....shall we?

Si vibaya kuuliza kama Mama Samia anajua Kiingereza [emoji1787].

Kwa ‘kujua’ namaanisha ana uwezo wa kuongea Kiingereza kizuri, kinachoeleweka, na kilichonyooka.

Mama Samia nishawahi kumsikia akitumia maneno mawili matatu kwa kuyachomekea katikati ya Kiswahili.

Haikuwa fursa nzuri ya kupima uwezo wake.

Mwenye kujua, mwenye video zake akitema yai, n.k., hebu tuwekeeni hapa tuone.

Na Kasimu Majaliwa naye je?
Kuna kibarua kingine unataka kumpatia ?
 
Back
Top Bottom