Uchaguzi 2020 Mama Samia Suluhu azindua awamu ya tatu ya kampeni CCM

Uchaguzi 2020 Mama Samia Suluhu azindua awamu ya tatu ya kampeni CCM

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Hakika CCM imejipanga kisayansi na inatumia rasilimali vyema.
Leo Mama Samia amemkabidhi Ilani Mbunge mtarajiwa wa jimbo la Kongwa Ndugu Job Y Ndugai.
IMG_20200927_161022.jpg
IMG_20200927_161015.jpg
 
Hakuna kitu hapo
Huyu mpiga bakora aliongea mashudu Tu,anawadanganya wagoo wenzake habari za ukombozi wa nchi za kusini mwa Africa

Wagogo wanataka maendelea historia ya ukombozi wagogo wananufaika nini na huo ukombozi?
 
Safi sana! Kwani awamu ya kwanza na pili imeisha? Ningekuwa ndugai ningeuza hiyo iPhone na hizo raba nikaenda kujenga madarasa kongwa hali ni mbaya jimbo la kongwa hii sio ya kusimuliwa nimeona mwenyewe kwa macho yangu.Mungu awakumbuke watu wa Kongwa.
 
Back
Top Bottom