Mama Samia Suluhu karibu Nairobi, kweli umedhamiria kurekebisha

Mama Samia Suluhu karibu Nairobi, kweli umedhamiria kurekebisha

Mtawadanya wajinga, eti dar uongee kilugha..subutu si unaonekana tahira huku wenzako kukukejeli na kukuita mkabila..

Nyie lugha za kikabila labda muendelea kuzitumia katika mambo ya kishirikina tu, sana sana waganga
Hapa nilipo naongea kilugha na wa nyumbani and yes niko Dar
 
Hujielewi Nchi nyingi zinatuzunguka Kenya sio nchi pekee tuaziuzia chakula sisi tunauza vyakula mpaka nchi za kusini mwa afrika.uchumi wa Tanzania unaendelea kukua vizuri.atakaye adhirika ni nyie mtakufa njaa.
Tunawezaje kufa njaa na bandari ya mombasa iko pale pale? Hujui ya kwamba tz wakileta nyoko twaweza kuagiza mahindi kutoka brazil na mexico? Because we have done that before. Nyinyi endeleeni kuwa na kiburi na mjue ya kwamba tumewalalia yombo.

Wakulima wenu ndio hao hao wanaolia kila masaa mkifunga mipaka kwa sababu mazao yao yanaharibika 😂. Mjichunge sana lol
 
Asanteni kwa dili la gesi
.....more to come
 
Albino yule punda wa kanyari ama
Please MchiziKaboka, Refine the word Albino. Based on ndaganyiass methodology its something to be eaten for a particular purpose. To get rich etc etc.
Kiti-mtu is the preferred word without any option
 
Please MchiziKaboka, Refine the word Albino. Based on ndaganyiass methodology its something to be eaten for a particular purpose. To get rich etc etc.
Kiti-mtu is the preferred word without any option
Albino ni ng'ombe kipenzi wa Mr.Kamau Njoroge wa kiambu
 
Naivas ni ya muindi?
Quickmart ni ya muhindi?
Equity ni ya Muhindi?
KCB ni ya muhindi?
Royal Media Services ni za muhindi?
Mombasa cement ni ya muhindi?
Cooperative Bank ni ya muhindi?
Centum real estate ni ya muhindi?
Brookside ni ya muhindi?
KCC ni ya muhindi?
Keroche Breweries ni ya muhindi?
Bruh tell them Kenyan company owns 70% of tanelec.
 
Naivas ni ya muindi?
Quickmart ni ya muhindi?
Equity ni ya Muhindi?
KCB ni ya muhindi?
Royal Media Services ni za muhindi?
Mombasa cement ni ya muhindi?
Cooperative Bank ni ya muhindi?
Centum real estate ni ya muhindi?
Brookside ni ya muhindi?
KCC ni ya muhindi?
Keroche Breweries ni ya muhindi?
Hapo mwisho Keroche, ndio yule mama, mtoto wake alitakiwa ku sign talaka ya Ben pol? 😂 😂 😂 Yaani jidume lizima linaomba divorce, waallahi tutaona vituko na wasanii! 🤣
 
Teh..........self employed kwani sio employment ? Huko wengi mpompo tu zaidi mnachojua ni English basi ukitoa hapo mnasubiri tu kulamba miguu ya ngozi nyeupe maisha yaende....extreme poverty ila mnalialia kuja kufanya biashara huku....kwani hamtaki kupeana ajira wenyewe huko kwenu na huo utajiri wenu............karibu Tz nchi ya maziwa na asali ambayo kila nyang'au anaiota
Uliona wapi watu wa 'extreme poverty' waki invest on other countries? 😂 😂 😂 Wacha utopolo, hiyo ni dalili ya kupanuka kwa biashara ndio maana wanakuja hadi huko, na sio Tz tu hadi nchi zingine za ukanda huu. Sasa linganisha na biashara zenyu ambazo hazijapanuka sana, zitawezaje kuja KE kwa wingi wakati kwao hawajakita kibiashara vizuri?... Think about that!!!
 
Uhusiano Kati ya Kenya na Tanzania unzaidi kuwa mzuri. Sisi wananchi ndio tutafaidika zaidi kwa hivyo tuwache mizozo cheap cheap.
 
Uliona wapi watu wa 'extreme poverty' waki invest on other countries? 😂 😂 😂 Wacha utopolo, hiyo ni dalili ya kupanuka kwa biashara ndio maana wanakuja hadi huko, na sio Tz tu hadi nchi zingine za ukanda huu. Sasa linganisha na biashara zenyu ambazo hazijapanuka sana, zitawezaje kuja KE kwa wingi wakati kwao hawajakita kibiashara vizuri?... Think about that!!!
Nyie lipanueni tu sie acha tukusanye mapene kwanza njoeni wote mfungue huku.......its good for us......tutoe mitaji nje wakati wananchi wetu bado wanahitaji ajira na mzunguko wa pesa wa kutosha.....hio kwetu iko poa tu hata tukiwa na kampuni 2 nje na sie tuwe na 10000 za nje huku ndani......hesabu inakaa poa tu
 
Back
Top Bottom