Mama Samia Suluhu karibu Nairobi, kweli umedhamiria kurekebisha

Mtawadanya wajinga, eti dar uongee kilugha..subutu si unaonekana tahira huku wenzako kukukejeli na kukuita mkabila..

Nyie lugha za kikabila labda muendelea kuzitumia katika mambo ya kishirikina tu, sana sana waganga
Hapa nilipo naongea kilugha na wa nyumbani and yes niko Dar
 
Hujielewi Nchi nyingi zinatuzunguka Kenya sio nchi pekee tuaziuzia chakula sisi tunauza vyakula mpaka nchi za kusini mwa afrika.uchumi wa Tanzania unaendelea kukua vizuri.atakaye adhirika ni nyie mtakufa njaa.
Tunawezaje kufa njaa na bandari ya mombasa iko pale pale? Hujui ya kwamba tz wakileta nyoko twaweza kuagiza mahindi kutoka brazil na mexico? Because we have done that before. Nyinyi endeleeni kuwa na kiburi na mjue ya kwamba tumewalalia yombo.

Wakulima wenu ndio hao hao wanaolia kila masaa mkifunga mipaka kwa sababu mazao yao yanaharibika πŸ˜‚. Mjichunge sana lol
 
Asanteni kwa dili la gesi
.....more to come
 
Albino yule punda wa kanyari ama
Please MchiziKaboka, Refine the word Albino. Based on ndaganyiass methodology its something to be eaten for a particular purpose. To get rich etc etc.
Kiti-mtu is the preferred word without any option
 
Please MchiziKaboka, Refine the word Albino. Based on ndaganyiass methodology its something to be eaten for a particular purpose. To get rich etc etc.
Kiti-mtu is the preferred word without any option
Albino ni ng'ombe kipenzi wa Mr.Kamau Njoroge wa kiambu
 
Bruh tell them Kenyan company owns 70% of tanelec.
 
Hapo mwisho Keroche, ndio yule mama, mtoto wake alitakiwa ku sign talaka ya Ben pol? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Yaani jidume lizima linaomba divorce, waallahi tutaona vituko na wasanii! 🀣
 
Uliona wapi watu wa 'extreme poverty' waki invest on other countries? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Wacha utopolo, hiyo ni dalili ya kupanuka kwa biashara ndio maana wanakuja hadi huko, na sio Tz tu hadi nchi zingine za ukanda huu. Sasa linganisha na biashara zenyu ambazo hazijapanuka sana, zitawezaje kuja KE kwa wingi wakati kwao hawajakita kibiashara vizuri?... Think about that!!!
 
Uhusiano Kati ya Kenya na Tanzania unzaidi kuwa mzuri. Sisi wananchi ndio tutafaidika zaidi kwa hivyo tuwache mizozo cheap cheap.
 
Nyie lipanueni tu sie acha tukusanye mapene kwanza njoeni wote mfungue huku.......its good for us......tutoe mitaji nje wakati wananchi wetu bado wanahitaji ajira na mzunguko wa pesa wa kutosha.....hio kwetu iko poa tu hata tukiwa na kampuni 2 nje na sie tuwe na 10000 za nje huku ndani......hesabu inakaa poa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…