Ninaweza kuamini hivyo hata Maajaliwa huenda alikuwa hajui wapi yupo raisi. Huenda wakazungumza kwa simu na sauti inayofanana na muheshimiwa wakajua wanazungumza na mwenyewe kumbe watu wanafanya yao. Hizi intelijensia si za kuziamini.Inawezekana mama Samia mwenyewe hajui Magufuli alipo[emoji16][emoji16]