Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Mnamo tarehe 29/03/2021 niliikosoa hadharani hotuba ya kwanza kabisa ya Rais wa JMT Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani nilimweleza wazi kwamba sera zake za uchumi hazina tija kwa baadaye na nikamkumbusha ilani ya kurasa zaidi ya 200 zinazotaka kufanyiwa kazi na nikamsihi asitoboe matundu ya pesa lkn hatukusikilizwa Nampa ujumbe mwingine Leo tar 28/06/2024 kuwa chukua hatua kali kabla mambo hayajaharibika
mfukuze Mara moja Waziri wa fedha Ndg Mwigulu nchemba kwa sababu sera zake za uchumi zimefeli Sana
Mwigulu nchemba anaencourage government spending on luxurious goods kama ununuzi wa Mashangingi na magari ya kifahari ambapo bidhaa kama Gari ni composite goods unatumia fedha za kigeni kuiagiza lkn vipuri na mafuta ya kuihudumia hii Gari na vyenyewe vinatumia fedha za kigeni kwa hiyo fedha zetu za kigeni hazitumiki kwa mambo ya maana yaani zinatumika kuagiza luxurious goods zisizokuwa na tija kwenye maendeleo na hivyo basi tunajikuta tuna deficit kubwa ya Foreign currency na hii imepelekea kushuka kwa thamani ya shilingi yetu
Kushuka kwa thamani ya shilingi yetu kumepelekea kuwepo kwa mfumko mkubwa wa bei na kuua mitaji ya wafanyabiashara wengi Sana .
Kwenye serikali yako mheshimiwa Rais Kuna Rushwa ya kutisha Sana watu wanashindana kujenga na kununua Magari hili ni jambo zuri lkn lisifanyike kwa kukwapua hela za serikali yaani watu wanashindana kuiba ili wanunue vitu vya anasa ambavyo vyoote hatunavyo nchini lazima tuviagize kwa kutumia pesa yetu ya kigeni automatically fedha yetu Ina depreciate
Tukio hili la wafanyabiashara nchi nzima kugoma si jambo la kawaida ni warning sign unayopewa mapema kwamba mfumo unaoutumia haufanyi vizuri kazi badilisha mwelekeo hujachelewa mfukuze makamba yaani yeye anapokuwa kila sehemu anawaza kuanzisha deal za kupiga pesa hata wazo la kujenga majengo Nairobi ni upigaji tu anawaza fukuza watu woote wanaowaza kukupamba waibe ikiwezekana vunja baraza la mawaziri usicheke na Nyani utavuna mabua