GE2025 Mama Samia usishupaze Shingo, kuna dissatisfaction kubwa katika nchi juu ya mambo yanavyokwenda nchini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Rais mwenye uwezo mdogo ni hatari mno for the national security maana atavuruga kila aina ya checks and balances, atavuruga kila freedom wanayoenjoy wananchi, ilimradi tu impe urahisi wa kutawala. Kwake kutawala ni muhimu mno kuliko ustawi wa jamii.

Na bahati mbaya vyombo vinavyotakiwa kumkatalia kuipeleka nchi shimoni, ndivyo ambavyo viko mstari wa mbele kumsaidia kuwezesha hilo. Shame on them!
 
Serikali ya Umoja wa kitaifa ndo inaweza kutuoa hapa kama ilivyo Zanzimbar na CUF
Serikali ya umoja wa kitaifa ni kugawana keki ya Taifana na wapinzani tu, mwananchi wa kawaida hakuna unafuu wowote utakao upata.
 
Time will tell.
 
Mimi nakushukuru kwa ushauri huo. Ila ni kama unazungumza na chura, tena chura kiziwi. Au kiumbe kilichotia pamba masikioni.
 
Tukipata Rais mwenye akili au tukiweza kuwaondoa hawa madhalimu madarakani by any means, Taasisi za mwanzo kuwa dissolved ni Mahakama, Jeshi la Polisi, TAKUKURU na TISS
 
Serikali ya umoja wa kitaifa ni kugawana keki ya Taifana na wapinzani tu, mwananchi wa kawaida hakuna unafuu wowote utakao upata.
Lissu si anakua na mapendekezo yake
 
Mawaidha mazuri hayo. Utawala bora ni kusikiliza wananchi wanasemaje. Kama kuna watu wanataja dosari, wasikilize na kuishughulikia. Si bora kushupaza shingo. Kama unajua wewe uko sahihi, basi waelimishe wananchi kuwa maoni yako ndiyo sahihi na yao siyo. Ni bora 'uchaguzi' ungeahirishwa hata kwa mwaka mmoja, serikali iliyopo iendelee madarakani, wakati dosari zinazozungumziwa zikiangaliwa. Siyo lazima katika kipindi hicho cha kuahirisha uchaguzi tupate Katiba Mpya. Hilo linaweza kufuata baadaye. La muhimu ni rasimu ya uchaguzi irekebishwe.
 
Tuache utani, hali ni ngumu sana mtaani..Taasisi za Serekali hela hakuna ufisadi mkubwa nimeshangaa pale Tanroads vikampuni vya kazi za Labour base ni za watu wa Tanroads..
 
Tuache utani, hali ni ngumu sana mtaani..Taasisi za Serekali hela hakuna ufisadi mkubwa nimeshangaa pale Tanroads vikampuni vya kazi za Labour base ni za watu wa Tanroads..
Kuna tabia iliyokwisha kusahaulika kwa sasa naona imetudi tena kwa kasi. Tabia ya RUSHWA. Kuna wateja wapya wameomba kuunganishiwa maji na umeme toka January hadi sasa hawajapata huduma hiyo. Wanaambiwa hamna vifaa vya maunganisho. Lengo lao ni ujiongeze upate huduma. Mambo ya hovyo kabisa.
 
Sawa, ww mwerevu ngoja tukuone ukiandamana 😂
Sihitaji kuhimizwa na mpumbavu kama wewe, wajibu wangu kwa taifa langu naujuwa mwenyewe..
Hiki kihelehele kinachowasumbua sasa ni cha nini?
 
Na bado!
Kama huyu jambazi ataendelea kukaa madarakani hali itakuwa mbaya sana.
 
Sihitaji kuhimizwa na mpumbavu kama wewe, wajibu wangu kwa taifa langu naujuwa mwenyewe..
Hiki kihelehele kinachowasumbua sasa ni cha nini?
Ety wajibu kwa taifa 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…