Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kama kuna kosa serikali ya Awamu ya Sita itafanya, ni kutowalipa Makandarasi wa ndani, wazalendo kabla ya uchaguzi Nonember 2025.
Hili ni angalizo tu!
Tukiachana na kodi za PAYEE, NSSF, WCF na michango mingi inayochelewa kulipwa kwa kukosa pesa, hali ya ajira kwa wafanyakazi na vibaru a wa makandarasi liangaliwe kwa undani zaidi.
Makandarasi wanaa ajiri vijana kwa 100% katika miradi yao
Kuna wanaofaidika moja kwa moja na malipo ya makandarasi, mama ntilie ndo wa kwanza maana hawa kazi yao ni kuwalisha vibarua. Tunaelewa kuwa vibarua wanawakopa Mama Ntilie chakua na wanalipa mwishoni mwa wiki au mwezi.
Wenye nyumba nao, hufaidika malipo ya kodi za nyumba, kutokana na vibarua au wafanya kazi wa makandarasi.
Hao wote hufaidika na malipo ya makandarasi wazawa.
Sasa malipo hayo yanapokoma, matokeo yake kisiasa hayako mbali kuyatabiri.