Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Samia alishawai kusema hata mkiwapigia kura wapinzani mshindi atatangazwa wa CCM
Hili andiko lako ni umepoteza mda
Hili andiko lako ni umepoteza mda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu mtu humlipi mkandarasi, lakini kwa upande mwingine unampiga penati kwa kuchelewa kulipa kodi, inayotokana na malipo ambayo hujamlipa...!!! Ajabu sana.Kama kuna kosa serikali ya Awamu ya Sita itafanya, ni kutowalipa Makandarasi wa ndani, wazalendo kabla ya uchaguzi Nonember 2025.
Hili ni angalizo tu!
Tukiachana na kodi za PAYEE, NSSF, WCF na michango mingi inayochelewa kulipwa kwa kukosa pesa, hali ya ajira kwa wafanyakazi na vibaru a wa makandarasi liangaliwe kwa undani zaidi.
Makandarasi wanaa ajiri vijana kwa 100% katika miradi yao
Kuna wanaofaidika moja kwa moja na malipo ya makandarasi, mama ntilie ndo wa kwanza maana hawa kazi yao ni kuwalisha vibarua. Tunaelewa kuwa vibarua wanawakopa Mama Ntilie chakua na wanalipa mwishoni mwa wiki au mwezi.
Wenye nyumba nao, hufaidika malipo ya kodi za nyumba, kutokana na vibarua au wafanya kazi wa makandarasi.
Hao wote hufaidika na malipo ya makandarasi wazawa.
Sasa malipo hayo yanapokoma, matokeo yake kisiasa hayako mbali kuyatabiri.
Kwa kuweka post yako hii, na wewe umeshiriki kupoteza mudaSamia alishawai kusema hata mkiwapigia kura wapinzani mshindi atatangazwa wa CCM
Hili andiko lako ni umepoteza mda
Hali hii inasikitisha sana.Halafu mtu humlipi mkandarasi, lakini kwa upande mwingine unampiga penati kwa kuchelewa kulipa kodi, inayotokana na malipo ambayo hujamlipa...!!! Ajabu sana.
Kama kuna kosa serikali ya Awamu ya Sita itafanya, ni kutowalipa Makandarasi wa ndani, wazalendo kabla ya uchaguzi Nonember 2025.
Hili ni angalizo tu!
Tukiachana na kodi za PAYEE, NSSF, WCF na michango mingi inayochelewa kulipwa kwa kukosa pesa, hali ya ajira kwa wafanyakazi na vibaru a wa makandarasi liangaliwe kwa undani zaidi.
Makandarasi wanaa ajiri vijana kwa 100% katika miradi yao
Kuna wanaofaidika moja kwa moja na malipo ya makandarasi, mama ntilie ndo wa kwanza maana hawa kazi yao ni kuwalisha vibarua. Tunaelewa kuwa vibarua wanawakopa Mama Ntilie chakua na wanalipa mwishoni mwa wiki au mwezi.
Wenye nyumba nao, hufaidika malipo ya kodi za nyumba, kutokana na vibarua au wafanya kazi wa makandarasi.
Hao wote hufaidika na malipo ya makandarasi wazawa.
Sasa malipo hayo yanapokoma, matokeo yake kisiasa hayako mbali kuyatabiri.
Kwa hiyo unabariki watu kutolipwa na kubaki na donge moyoni!Kura tangu 2010 hazijawahi kumpata Rais .
Wapiga kura hata wasipopiga zitapigwa na mawakala kujaza masanduku ya kura .
Kwa hiyo kama wakandarasi hawajatimiza masharti ya mkataba basi wakae kwa kutulia .
CCM walishasema Ikulu watu hawaingii kwa vikaratasi kwenye Sanduku.
Kwa hiyo unabariki watu kutolipwa na kubaki na donge moyoni!
Weka uthibitisho.Tenda nyingi za wazawa zinapatikana kifisadi na zipo kutekeleza ufisadi wa watu wachache.
Wanachelewesha miradi na malipo kwa makusudi ili waidai serikali fidia kwa makusudi na mchongo unafanywa kwa makubaliano na wachache kunufaika
Nenda huko halmashauri utaona vioja .Weka uthibitisho.