Mama Samia walipeni makandarasi wazalendo madeni yao-ndio wapiga kura wako.

Samia alishawai kusema hata mkiwapigia kura wapinzani mshindi atatangazwa wa CCM

Hili andiko lako ni umepoteza mda
 
Halafu mtu humlipi mkandarasi, lakini kwa upande mwingine unampiga penati kwa kuchelewa kulipa kodi, inayotokana na malipo ambayo hujamlipa...!!! Ajabu sana.
 
Halafu mtu humlipi mkandarasi, lakini kwa upande mwingine unampiga penati kwa kuchelewa kulipa kodi, inayotokana na malipo ambayo hujamlipa...!!! Ajabu sana.
Hali hii inasikitisha sana.
Kwa kutolipwa makandarasi wengi wamefilisika.
Serikali iko kimya as if kumlipa mkandarasi ni fadhila.
 
Kura tangu 2010 hazijawahi kumpata Rais .

Wapiga kura hata wasipopiga zitapigwa na mawakala kujaza masanduku ya kura .

Kwa hiyo kama wakandarasi hawajatimiza masharti ya mkataba basi wakae kwa kutulia .
CCM walishasema Ikulu watu hawaingii kwa vikaratasi kwenye Sanduku.
 
Kwa hiyo unabariki watu kutolipwa na kubaki na donge moyoni!
 
Kwa hiyo unabariki watu kutolipwa na kubaki na donge moyoni!

Tenda nyingi za wazawa zinapatikana kifisadi na zipo kutekeleza ufisadi wa watu wachache.

Wanachelewesha miradi na malipo kwa makusudi ili waidai serikali fidia kwa makusudi na mchongo unafanywa kwa makubaliano na wachache kunufaika
 
Weka uthibitisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…