Mama Samia yupo Sahihi

Mama Samia yupo Sahihi

Etugrul Bey

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
6,514
Reaction score
15,247
Akiongea na waandishi wa habari katika kongamano la vyombo vya habari alisema "huko nje watu wanaisifia sana Tanzania lakini huku ndani tunasema vibaya kuhusu jitihada mbali mbali za serikali" mwisho wa kunuu

Na hii ndio hali ambayo tunayo sasa baada ya hawa vichaa wa gen z huko Kenya kuonekana mashujaa machoni mwa watanzani wenzetu

Sasa tunaitana wapumbavu na wajinga kisa tu hao wapuuzi wa gen z kuandamana na kuharibu usalama wa nchi yao

Hivi vurugu kwenu ndio ujanja au ushujaa? Kuharibu mali na kuhatarisha amani ya nchi ndio kuelimika?

Wenye akili wanasema hivi "siku zote hakikisha unahimarisha your communication skills kwasababu yale utakayo yazungumza yanaonyesha ulimwengu wewe ni mtu wa namna gani"?

Kupitia nyuzi mbali mbali na comment mbali mbali za wale wanao sapoti hicho kizazi cha kipuuzi wanaonyesha ulimwengu jinsi walivyo wapuuzi.

Gracias

Ni hayo tu!
 
Udugu ni kama msitu, ukiwa mbali utaona miti yote ipo pamoja ila kadri unavyosogea ndo utgubdua kula mti uko kivyake na ukiingia ndani utaona utengano mkubwa.

Hao wanaomsifia ndo wanampa Degree kila kukicha ila tulioko ndani ndo tunaumia, Amka Utajikojolea.
 
Naona umeamua kuyatafuta Matusi na utayapata ngoja waje.
Kama kuna sekta niko vizur basi ni emotional inteligency,,,,huwezi kunikwaza hata siku moja kwakuwa huwa siruhusu kuumia ,,,hakuna mwenye mamlaka ya kuniumiza isipokuwa nikubali mwenyewe kuumia

Niko sehemu hapa ntazoom comment kimya kimya
 
Akiongea na waandishi wa habari katika kongamano la vyombo vya habari alisema "huko nje watu wanaisifia sana Tanzania lakini huku ndani tunasema vibaya kuhusu jitihada mbali mbali za serikali" mwisho wa kunuu

Na hii ndio hali ambayo tunayo sasa baada ya hawa vichaa wa gen z huko Kenya kuonekana mashujaa machoni mwa watanzani wenzetu

Sasa tunaitana wapumbavu na wajinga kisa tu hao wapuuzi wa gen z kuandamana na kuharibu usalama wa nchi yao

Hivi vurugu kwenu ndio ujanja au ushujaa? Kuharibu mali na kuhatarisha amani ya nchi ndio kuelimika?

Wenye akili wanasema hivi "siku zote hakikisha unahimarisha your communication skills kwasababu yale utakayo yazungumza yanaonyesha ulimwengu wewe ni mtu wa namna gani"?

Kupitia nyuzi mbali mbali na comment mbali mbali za wale wanao sapoti hicho kizazi cha kipuuzi wanaonyesha ulimwengu jinsi walivyo wapuuzi.

Gracias

Ni hayo tu!
Toa mada kamili huko nje wapi?
Alafu always know hao wa nje wengi wao watakusifia sio kwasababu unafanya vizuri kwa wananchi wako bali umekaa kwenye mfumo wao
Mfano mara nyingi marekani inaikandia china sio kwasababu china haifanyi vizur ila ni kwasababu china hajakaa kwenye mfumo wao
 
Akiongea na waandishi wa habari katika kongamano la vyombo vya habari alisema "huko nje watu wanaisifia sana Tanzania lakini huku ndani tunasema vibaya kuhusu jitihada mbali mbali za serikali" mwisho wa kunuu

Na hii ndio hali ambayo tunayo sasa baada ya hawa vichaa wa gen z huko Kenya kuonekana mashujaa machoni mwa watanzani wenzetu

Sasa tunaitana wapumbavu na wajinga kisa tu hao wapuuzi wa gen z kuandamana na kuharibu usalama wa nchi yao

Hivi vurugu kwenu ndio ujanja au ushujaa? Kuharibu mali na kuhatarisha amani ya nchi ndio kuelimika?

Wenye akili wanasema hivi "siku zote hakikisha unahimarisha your communication skills kwasababu yale utakayo yazungumza yanaonyesha ulimwengu wewe ni mtu wa namna gani"?

Kupitia nyuzi mbali mbali na comment mbali mbali za wale wanao sapoti hicho kizazi cha kipuuzi wanaonyesha ulimwengu jinsi walivyo wapuuzi.

Gracias

Ni hayo tu!
Mkuu nenda pale Kenya kawaambie hao Gene z wapuuzi. Kwa upuuzi utarudi huna marinda nakuhakikishia
 
Akiongea na waandishi wa habari katika kongamano la vyombo vya habari alisema "huko nje watu wanaisifia sana Tanzania lakini huku ndani tunasema vibaya kuhusu jitihada mbali mbali za serikali" mwisho wa kunuu

Na hii ndio hali ambayo tunayo sasa baada ya hawa vichaa wa gen z huko Kenya kuonekana mashujaa machoni mwa watanzani wenzetu

Sasa tunaitana wapumbavu na wajinga kisa tu hao wapuuzi wa gen z kuandamana na kuharibu usalama wa nchi yao

Hivi vurugu kwenu ndio ujanja au ushujaa? Kuharibu mali na kuhatarisha amani ya nchi ndio kuelimika?

Wenye akili wanasema hivi "siku zote hakikisha unahimarisha your communication skills kwasababu yale utakayo yazungumza yanaonyesha ulimwengu wewe ni mtu wa namna gani"?

Kupitia nyuzi mbali mbali na comment mbali mbali za wale wanao sapoti hicho kizazi cha kipuuzi wanaonyesha ulimwengu jinsi walivyo wapuuzi.

Gracias

Ni hayo tu!
Taarifa za CHAWA zinampotosha!! Hali ni mbaya mbaya sana
 
Waandishi wa habari wote wameamua kuwa machawa kwasababu hawana njia nyingine ya kupata pesa bila kuwasifia wanasiasa.

Walikuwa wanajazana pale ofisi za MAELEZO sijui sasa wamehamia Dodoma au bado wapo mjini na vi blog vyao vimejaa mipicha ya Samia na CCM.

Humu ndani nchini umsifie Samia H.Suluhu kwa lipi? Kuuza bandari?,Kuuza misitu, kuwaondoa wamasai kwenye maeneo yao ya asili? kuteka na kutesa wanaoikosoa serikali?

Hata Magufuli bado huko nje wana msifu, lakini humu ndani hata kura za ccm alikuwa hapati.

Ungebadirisha kazi upate pesa yako hizo za kuhongwa na wanasiasa ndio mnageuzwa kuwa mashoga.
 
Kati ya wa nje na wa ndani yupi anajua uhalisia zaidi?

Tanzania kwa miaka hii 60 ya uhuru kipi cha maana cha kujivunia, kulingana na muda wa uhuru, kwa spidi ya teknolojia na maendeleo ni kama vile sie ndio tunarudi nyuma.
 
Hao wa nje Hawaishi Humu Tanzania Sisi Tunaoishi bongo Tunamjua Hali halisi ilivyo Hao wa nje Hawana Wanalojua
Unafikiri Tanzania ni kisiwa kisichofikika na hao unaodhani hawajui Tanzania?

Mbona rafiki yako Zakayo amesalimu amri kwa hao unaowaita wapuuzi?
So, the levels of unemployment in Kenya are incredibly high. The levels of poverty are rising. The number of households that go without a meal a day are rising every day. And so the situation is really quite sensitive in terms of the economic outlook, so that this new rash of taxes that were to be introduced in the finance bill felt like a step too far for a lot of Kenyans. And especially for young Kenyans who have gone to school and are sitting at home without jobs, this was a — they became incredibly engaged in the political process because of this particular situation.

Now, the debt that the government is trying to deal with really is, indeed, quite a challenge. We have about $80 billion worth of debt, and that keeps — and the number keeps changing because our currency is also quite weak at this time, and it keeps — and a lot of the debt we have is denominated in dollars.
 
Back
Top Bottom