Mama Samia yupo Sahihi

Mama Samia yupo Sahihi

Akiongea na waandishi wa habari katika kongamano la vyombo vya habari alisema "huko nje watu wanaisifia sana Tanzania lakini huku ndani tunasema vibaya kuhusu jitihada mbali mbali za serikali" mwisho wa kunuu

Na hii ndio hali ambayo tunayo sasa baada ya hawa vichaa wa gen z huko Kenya kuonekana mashujaa machoni mwa watanzani wenzetu

Sasa tunaitana wapumbavu na wajinga kisa tu hao wapuuzi wa gen z kuandamana na kuharibu usalama wa nchi yao

Hivi vurugu kwenu ndio ujanja au ushujaa? Kuharibu mali na kuhatarisha amani ya nchi ndio kuelimika?

Wenye akili wanasema hivi "siku zote hakikisha unahimarisha your communication skills kwasababu yale utakayo yazungumza yanaonyesha ulimwengu wewe ni mtu wa namna gani"?

Kupitia nyuzi mbali mbali na comment mbali mbali za wale wanao sapoti hicho kizazi cha kipuuzi wanaonyesha ulimwengu jinsi walivyo wapuuzi.

Gracias

Ni hayo tu!
Hoja yako ina mashiko sana sema tu humu pia kuna wapuuzi kibao.
 
Back
Top Bottom