Mama Sinyali Boss la Kariakoo

Mama Sinyali Boss la Kariakoo

Hahahaha

Nusu ya Wakazi wa Jiji la Dar es salaam huwa machizi mchana kutokana na mihangaiko ya kutafuta rizki na adha ya usafiri

pole sana mleta thread
Ukiona unailazimisha sana riziki hadi unakaribia uchizi,ujuwe kabisa hiyo siyo haki yako bali unailazimisha!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mbona anaomba msaada clouds. Mpaka mtoto ameshindwa kwenda shule.
mtoto mwenyewe amesoma na mtoto wa kaja.a, hivyo sio shule ya kimaskini sana. wakati mwingine unaweza kuwa tajiri lakin pesa zako zote ziko kwenye biashara, sishangai hilo. sio kwamba ukiwa na duka kubwa basi unaweza kutumia hela ovyo.

nikija kwenye point, huyo mama kama anauza vipodozi, lazima atakuwa na pesa chafu, lazima atakuwa rafiki sana wa polisi, TRA na TMDA. biashara ya vipodozi ina pesa za haraka sana ni kama za madawa ya kulevya, na ni haramu mara nyingi. kufanya biashara ya vipodozi lazima kidogo nati ziwe zimelegea, ama la utashindwa kwasababu ina uharamu mwingi. vipodizi vyenyewe unavyoingiza nchini, nusu utakuta vimezuiwa kuingia hivyo unaviingiza kiharamu, na kuna wateja huku ndani ambao wameshavitumia na wamekuwa watume hivyo vikifika tu wanadaka. wauzaji wa vipodozi wengi hasa vilivyozuiwa utakuwa wanauzia chini ya kapeti na watamuuzia mteja wanayemjua tu kwamba sio pandikizi la kamatakamata, ni kama kuuza bange tu.
 
NAAM KAMA AKILI UNAZO BASI KAA UKIJUA
VIPODOZI KWA AJILI YA KUTAKATISHA SURA, SIJUI KUIFANYA SOFT AU NYEUPE KAMA MTASHA HAKUNA.
NA KAMA ZIPO ZINA MATOKEO HAKA HAYA, SURA MOJA RANGI MBILI.

UKISHINDWA KUJIFUNZA KWENYE HILI, NENDA TWISHENI KWA MWAMPOSA.
AMEEN
 
Mwanamama mfanyabiashara maarufu wa kariakoo amekuwa celebrity baada ya kuongea mbele ya waziri mkuu. Mama huyu pamoja na uchangamfu wake hulia sana kwa uchungu akifanyiwa mahojiano. Inasemekana mama huyo alikuwa tajiri wa kupindukia. Je ni nini haswa kilimpata bilionea Sinyaa?

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Huyo Mama Sinyali anayetrend ni mama mwenye hela za zake japo zimepungua kidogo. Ni rafiki mkubwa wa Davis Mosha pamoja na mtoto wa Rais Mstaafu awamu ya nne.

Narudia tena huyo mama ni alikuwa na hela sasa hivi zimeshuka kidogo halafu ni mafia, mtoto wa mjini hasa, siwezi kuandika mengi ila Sinyali ni Sinyali kweli hana shida ndogo ndogo.

Siju majumba, magari ya kifahari, huyo kushika milion 300, sijui millioni 600 kwake kawaida tu mbona, nyie endeleni kumwona meme ni li boss hilo jitu.

Kuna kipindi alitukana CCM wadau niishie hapa...akajifanya hawajui, walimshona vizuri akapendeza[emoji1][emoji1][emoji1]hana hamu na siasa hadi leo.

Siwezi kuweka full nondo hapa kwa sababu ya heshima ya Sinyali, pia boss wangu Davis Mosha nawakubali.

Sinyali tajiri born town watu wanamuona meme sasa hivi, wangemjua vizuri wangesema hadi wanaume kawapita roho ya ujasiri.

Sinyali we boss kubwa mama la kujiamini, huyo mama ukimzingua jua anakuzengua mara mia 10,000,000 hahhaa.

Wadau bye bwana nawahi nawahi bajaji za Mwenge natoka Posta, baadae ashampoo hapa.
Tz na umaarufu uchwara!
 
Inamsaidia nini yeyote yule?
 
Back
Top Bottom