Mama siwezi kukutumia hiyo elfu hamsini uliyoniomba kwasababu kesho natakiwa kulipa ada ya mtoto shuleni

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Hayo si maneno yangu, ni maneno ya kilaza mmoja aliechangamka ambae anaamini kwamba umasikini unasababishwa na kutojua lugha ya kiingereza utotoni. ( 😂😂😂 utoto raha nyie/ you can just think any how)

Si yeye peke yake bali hadi ndugu zake (kaka zake) wengine wanne ( wa tumbo moja) wote wanarusha kumpa bi mkubwa wao shilingi elfu hamsini tu na alibi yao ni kwamba ni mwezi wa 9 huu hela zao wanapeleka kwenye akaunti ya Mr and Mrs Muggetta ambayo ameibatiza jina la " St. Xxx Nursery and Primary School.

Cha kushangaza, mama yao huyo huyo aliweza kuwasomesha na kuwalisha wote wa5 kwa pamoja na hakuwa na kazi yoyote ya maana zaidi ya kuuza ubuyu kwenye shule ya Msingi Mtakuja..

Very interestingly, yani ; 👇

" Mwanamke mmoja asie na elimu ya sekondary( kaishia la4 la UPE) wala ajira rasmi, ameweza kuwasomesha na kuwatunza watoto wa kiume wa5 kuanzia la kwanza hadi form six( chuo wakapata mkopo), lakini wanaume wa5 wenye, elimu ya chuo kikuu, wenye kazi ( ajira rasmi), wanashindwa kumtunza mama yao mmoja" Na Alibi yao ni 👉 wanalipa ada za watoto English Medium.

Duh hata Ole GUNNAR ata GUNA.

Ndio maana mnapataga laana. Mitoto yenu mnayotumia mamilioni kuisomesha shule za EM inapata mimba za bodaboda mara tu baada ya kumaliza form 4 na ya kiume inakuja kuwa mishoga au jobless( inakuja kuwa sumbua baadae, inawaomba kazi, kwa sababu tayari mlishaijengea the feeling of entitlement tangu ikiwa midogo)

Na nyie wenyewe mnaishia kupata presha na kisukari mkiwa bado vijana...

Mama ako ananun'gunika yani kweli huyu mwanangu " Budono" anaona bora aende kulipa shilingi milioni moja na nusu shuleni kwa mtoto wake wa darasa la tatu ( ambae angeweza kumpeleka Kayumba na kuokoa hizo gharama anazo tupa) kuliko kunipa walau shilingi elfu hamsini mimi mama yake mzazi niliemuweka tumboni kwa miezi tisa nilie jinyima na kuhangaika kwa ajili yake hadi akafikia hapo?

Mnawahuzunisha mama zenu.

As for me;
" I am the true son of my father."

Siwezi kutoa hela kupeleka kwenye shule ya kiingereza halafu nimuache mama angu anaishi kwa mateso. Never on earth.

Wazo la " kutoa mamilioni kwenye shule za EM huku mama ako anaishi kwa tabu, haliwezi kukaa kwenye kichwa cha mwanaume anaesimamisha vizuri"

.........
Mtu muhimu kuliko wote kwenye biashara ya muziki ni Promoter. Kwa sababu huyu promoter ndio anamlipa mwanamuziki afanye show. Bila promoter hakuna mwanamuziki. Heshima na sifa anapewa mwanamuziki au producer lakini promoter ambae anaubeba muziki hatajwi.

Kwenye shule za English Medium, mtu muhimu kuliko wote ni wewe.

Nina ongea na wewe masikini unaejitesa kulipa mamilioni kwenye shule za English Mediums. Wewe ndio mtu muhimu zaidi kwenye shule hizo na sio kinacho fundishwa shuleni hapo kwa sababu wewe ndo unae fanya shule iwepo.

Wewe ndio sababu kwanini Mr. Mugetta alianzisha shule yake.

Mr. Mugetta anapoenda kutoa makafara kwenye madhabahu zake kuiombea shule yake ipate wanafunzi huwa anaomba apate watu kama wewe.

Wewe ndio dili. Ur the real deal. Sio shule, sio kinacho fundishwa shuleni hapo ila ni wewe...

Chaguo ni lako? Unakubali kuendelea kufanywa kuwa dili?

Au unasema "ngastuka?"

Je utaendelea kumfanyia" dhulma" mama ako mzazi? Kwa kuchukua pesa ambayo ungetakiwa kumpa yeye na kupeleka kwa Bwana Mgetta ambae anakuona dili?

Chaguo ni lako
 
Hayo si maneno yangu, ni maneno ya kilaza mmoja aliechangamka ambae anaamini kwamba umasikini unasababishwa na kutojua lugha ya kiingereza utotoni. ( [emoji23][emoji23][emoji23] utoto raha nyie/ you can just think any how)

Si yeye peke yake bali hadi ndugu zake (kaka zake) wengine wanne ( wa tumbo moja) wote wanarusha kumpa bi mkubwa wao shilingi elfu hamsini tu na alibi yao ni kwamba ni mwezi wa 9 huu hela zao wanapeleka kwenye akaunti ya Mr and Mrs Muggetta ambayo ameibatiza jina la " St. Xxx Nursery and Primary School.

Cha kushangaza, mama yao huyo huyo aliweza kuwasomesha na kuwalisha wote wa5 kwa pamoja na hakuwa na kazi yoyote ya maana zaidi ya kuuza ubuyu kwenye shule ya Msingi Mtakuja..

Very interestingly, yani ; [emoji116]

" Mwanamke mmoja asie na elimu ya sekondary( kaishia la4 la UPE) wala ajira rasmi, ameweza kuwasomesha na kuwatunza watoto wa kiume wa5 kuanzia la kwanza hadi form six( chuo wakapata mkopo), lakini wanaume wa5 wenye, elimu ya chuo kikuu, wenye kazi ( ajira rasmi), wanashindwa kumtunza mama yao mmoja" Na Alibi yao ni [emoji117] wanalipa ada za watoto English Medium.

Duh hata Ole GUNNAR ata GUNA.

Ndio maana mnapataga laana. Mitoto yenu mnayotumia mamilioni kusoma shule za EM inapata mimba za bodaboda mara tu baada ya kumaliza form 4 na ya kiume inakuja kuwa mishoga au jobless( inakuja kuwa sumbua baadae, inawaomba kazi, kwa sababu tayari mlishaijengea the feeling of entitlement tangu ikiwa midogo)

Na nyie wenyewe mnaishia kupata presha na kisukari mkiwa bado vijana...

Mama ako ananun'gunika yani kweli huyu mwanangu " Budono" anaona bora aende shilingi milioni moja na nusu shuleni kwa mtoto wake wa darasa la tatu ( ambae angeweza kumpeleka Kayumba na kuokoka hizo gharama) kuliko kunipa walau shilingi elfu hamsini mimi mama yake mzazi nilimuweka tumboni kwa miezi tisa nilie jinyima na kuhangaika kwa ajili yake hadi akafikia hapo?

Mnawahuzunisha mama zenu. As for me I am the true son of my father. Siwezi kutoa hela kupeleka kwenye shule ya kiingereza halafu nimuache mama angu anaishi kwa mateso. Never.

Wazo la " kutoa mamilioni kwenye shule za EM huku mama ako anaishi tabu, haliwezi kukaa kwenye kichwa cha mwanaume anaesimamisha vizuri"

.........
Mtu muhimu kuliko wote kwenye biashara ya muziki ni Promoter. Kwa sababu huyu promoter ndio anamlipa mwanamuziki afanye show. Bila promoter hakuna mwanamuziki. Heshima na sifa anapewa mwanamuziki au producer lakini promoter ambae anaubeba muziki hatajwi.

Kwenye shule za English Medium, mtu muhimu kuliko wote ni wewe. Nina ongea na wewe masikini unaejitesa kulipa mamilioni kwenye shule za English Mediums. Wewe ndio mtu muhimu zaidi kwenye shule hizo na sio kinacho fundishwa shuleni hapo kwa sababu wewe ndo unae fanya shule iwepo. Wewe ndio sababu kwanini Mr. Mugetta alianzisha shule yake. Mr. Mugetta anapoenda kutoa makafara kwenye madhabahu zake kuiombea shule yake ipate wanafunzi huwa anaomba apate watu kama wewe.

Wewe ndio dili. Ur the real deal. Sio shule, sio kinacho fundishwa shuleni hapo ila ni wewe...

Chaguo ni lako? Unakubali kuendelea kufanywa kuwa dili?

Au unasema "ngastuka?"

Je utaendelea kumfanyia" dhulma" mama ako mzazi? Kwa kuchukua pesa ambayo ungetakiwa kumpa yeye na kupeleka kwa Bwana Mgetta ambae anakuona dili?

Chaguo ni lako
Familia za watu kuna mengi acha kuhukumu mtu kwa kutomtumia b mkubwa sh 50,000...........
 
Hakuna excuse yoyote Ile chini ya jua inayo justify mtoto wa kiume kutomtunza mama ake mzazi. Narudia tena haipo
 
Sio kila anachoomba mzazi lazima apewe/apewe kwa wakati
 
The problem of being a man( a father ) is that " every one want it now"
The kids want to eat now.
Ur wife want sex now.
Eveything about being a father ( a man) is now.

If your mother want it not. Just give it to her now.

This is a command
Sio kila anachoomba mzazi lazima apewe/apewe kwa wakati
 
Hakuna excuse yoyote Ile chini ya jua inayo justify mtoto wa kiume kutomtunza mama ake mzazi. Narudia tena haipo
Unachanganya vitu mkuu kuna kumtunza na kumpa 50 000 wewe unafikiri kumtunza ndo kumpa 50 000 tu, matharani niko na mama angu mzazi tuna kula pamoja matibabu na mpeleka mwenyewe nguo na mambo muhimu kwa wakati na mpa, anaomba 50k kuende kutembelea mtoto wake mgine mkoani, lakini bajeti inasoma kurudusha mtoto shule kwahiyo nifanye je kwanza?
 
Hayo si maneno yangu, ni maneno ya kilaza mmoja aliechangamka ambae anaamini kwamba umasikini unasababishwa na kutojua lugha ya kiingereza utotoni. ( 😂😂😂 utoto raha nyie/ you can just think any how)

Si yeye peke yake bali hadi ndugu zake (kaka zake) wengine wanne ( wa tumbo moja) wote wanarusha kumpa bi mkubwa wao shilingi elfu hamsini tu na alibi yao ni kwamba ni mwezi wa 9 huu hela zao wanapeleka kwenye akaunti ya Mr and Mrs Muggetta ambayo ameibatiza jina la " St. Xxx Nursery and Primary School.

Cha kushangaza, mama yao huyo huyo aliweza kuwasomesha na kuwalisha wote wa5 kwa pamoja na hakuwa na kazi yoyote ya maana zaidi ya kuuza ubuyu kwenye shule ya Msingi Mtakuja..

Very interestingly, yani ; 👇

" Mwanamke mmoja asie na elimu ya sekondary( kaishia la4 la UPE) wala ajira rasmi, ameweza kuwasomesha na kuwatunza watoto wa kiume wa5 kuanzia la kwanza hadi form six( chuo wakapata mkopo), lakini wanaume wa5 wenye, elimu ya chuo kikuu, wenye kazi ( ajira rasmi), wanashindwa kumtunza mama yao mmoja" Na Alibi yao ni 👉 wanalipa ada za watoto English Medium.

Duh hata Ole GUNNAR ata GUNA.

Ndio maana mnapataga laana. Mitoto yenu mnayotumia mamilioni kuisomesha shule za EM inapata mimba za bodaboda mara tu baada ya kumaliza form 4 na ya kiume inakuja kuwa mishoga au jobless( inakuja kuwa sumbua baadae, inawaomba kazi, kwa sababu tayari mlishaijengea the feeling of entitlement tangu ikiwa midogo)

Na nyie wenyewe mnaishia kupata presha na kisukari mkiwa bado vijana...

Mama ako ananun'gunika yani kweli huyu mwanangu " Budono" anaona bora aende kulipa shilingi milioni moja na nusu shuleni kwa mtoto wake wa darasa la tatu ( ambae angeweza kumpeleka Kayumba na kuokoa hizo gharama anazo tupa) kuliko kunipa walau shilingi elfu hamsini mimi mama yake mzazi niliemuweka tumboni kwa miezi tisa nilie jinyima na kuhangaika kwa ajili yake hadi akafikia hapo?

Mnawahuzunisha mama zenu.

As for me;
" I am the true son of my father."

Siwezi kutoa hela kupeleka kwenye shule ya kiingereza halafu nimuache mama angu anaishi kwa mateso. Never on earth.

Wazo la " kutoa mamilioni kwenye shule za EM huku mama ako anaishi kwa tabu, haliwezi kukaa kwenye kichwa cha mwanaume anaesimamisha vizuri"

.........
Mtu muhimu kuliko wote kwenye biashara ya muziki ni Promoter. Kwa sababu huyu promoter ndio anamlipa mwanamuziki afanye show. Bila promoter hakuna mwanamuziki. Heshima na sifa anapewa mwanamuziki au producer lakini promoter ambae anaubeba muziki hatajwi.

Kwenye shule za English Medium, mtu muhimu kuliko wote ni wewe.

Nina ongea na wewe masikini unaejitesa kulipa mamilioni kwenye shule za English Mediums. Wewe ndio mtu muhimu zaidi kwenye shule hizo na sio kinacho fundishwa shuleni hapo kwa sababu wewe ndo unae fanya shule iwepo.

Wewe ndio sababu kwanini Mr. Mugetta alianzisha shule yake.

Mr. Mugetta anapoenda kutoa makafara kwenye madhabahu zake kuiombea shule yake ipate wanafunzi huwa anaomba apate watu kama wewe.

Wewe ndio dili. Ur the real deal. Sio shule, sio kinacho fundishwa shuleni hapo ila ni wewe...

Chaguo ni lako? Unakubali kuendelea kufanywa kuwa dili?

Au unasema "ngastuka?"

Je utaendelea kumfanyia" dhulma" mama ako mzazi? Kwa kuchukua pesa ambayo ungetakiwa kumpa yeye na kupeleka kwa Bwana Mgetta ambae anakuona dili?

Chaguo ni lako
Shusha pumzi unijibu, .....

24 Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.
Mwanzo 2:24
 
Waheshimu baba ako na mama ako upate kuishi miaka mingi na yenye heri duniani.

Amelaaniwa mtu yule asie wajali watu wa nyumbani kwako...
 
Za kuambiwa

Back
Top Bottom