Mama Sofia Kawawa

Mama Sofia Kawawa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
20140506_172346.jpg

Mama Sofia Kawawa alikuwa mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), wakati huo ikiwa jumuia inayowaunganisha wanawake chini ya chama kilichoshika hatamu. Mama Sofia alikuwa mwenyekiti wa Taifa kwa miongo kadhaa. Wakati huo akiwa mke wa Waziri Mkuu Mzee Rashid Kawawa.

Wenye kujua vizuri historia tunaomba mtusaidie, mama Sofia alichukua uwenyekiti kutoka kwa Bi Titi Mohamed? Sina uhakika vizuri na hili.
 
Mama Sophia alikuwa mwenyekiti kwa muda mrefu. Namkumbuka alikuja chuoni kwetu akatoa speech moja kabambe kuhusu ndoa za kiislam na vithumuni anavyolipwa mwanamke anapoachika. She was so strong. Tatizo nilikuwa TYL wakati huo na baada ya hapo mimi na siasa tukawa mbali mbali tokana na majukumu yangu.
 
Ninakumbuka mkutano wa UWT mwaka 1977 ulifanyika UDSM, mama yangu alikuwa mjumbe. Sikumbuki mengi zaidi ya kuwa tulikuwa tunapelekwa jioni UDSM kumuona kwani alitumia muda mwingi kwenye shughuli za chama.
Mama Sofia alipita Tena bila kupingwa nafasi ya uwenyekiti
 
Duuh, 1977 .???
 
Ndiyo kipindi nilikuwa chuo. Huyo mama alikuwa so charismatic hata mme wake asingeweza kutoa hotuba kama mama. Those were the real politicians who ment what they said siyo hawa wa mipasho. Sidhani kama Mama Sophia angepinga wasichana wanaopata ujauzito kuendelea na masomo. It is a shame to our politicians ambao waume zao ndo ...... Ulizia Mhu alikuwa anakuwaje akenda NY halafu mke wake anakuja kutoa hayo maneno ya kejeri.
 
Ninatamani kusikia hotuba zake kama zilihifadhiwa, hawa ni wamama waliopata elimu enzi za mkoloni nacwakijua adha ya kukandamizwa na umuhimu wa mwanamke katika jamii.
 
RTD watakuwa nazo I mean TBC sababu wana maktaba kubwa pale. Kama una influency na watu wa huko unaweza zipata. Si unaona wanavyoweza kutoa zile za Mwalimu kidogo kidogo. Hotuba nyingine nzuri ni ya Bibi Titi alipokuwa ametoka Jela. She was not hypocrite Mtu alimtoa jela halafu yeye kaja kumkandia lakini wakati huo mwalimu kesha jichokea.
 
Asante sana,
 
Ninakumbuka mkutano wa UWT mwaka 1977 ulifanyika UDSM, mama yangu alikuwa mjumbe. Sikumbuki mengi zaidi ya kuwa tulikuwa tunapelekwa jioni UDSM kumuona kwani alitumia muda mwingi kwenye shughuli za chama.
Mama Sofia alipita Tena bila kupingwa nafasi ya uwenyekiti
1977 hata sijazaliwa,Hivi Kawawa alikuwa na wake wangapi ?Huyu Sophia Kawawa alikuwa na fani gani ?
 
Ni muhimu watu hawa wakakumbukwa japo kwa speech zao walizozitoa enzi zao. Zina mantiki sana.
 
Ninadhani UWT hawajafanya ya kutosha kuwa enzi watu hawa. Kukuta kuwa kuwe na kitu kama hosteli ya Sofia Kawawa pale UDSM kusaidia wanafunzi wa kike
 
Back
Top Bottom