Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Mama Sofia Kawawa alikuwa mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), wakati huo ikiwa jumuia inayowaunganisha wanawake chini ya chama kilichoshika hatamu. Mama Sofia alikuwa mwenyekiti wa Taifa kwa miongo kadhaa. Wakati huo akiwa mke wa Waziri Mkuu Mzee Rashid Kawawa.
Wenye kujua vizuri historia tunaomba mtusaidie, mama Sofia alichukua uwenyekiti kutoka kwa Bi Titi Mohamed? Sina uhakika vizuri na hili.