Shukran mkuu, inawezekana humu jukwaani kuna atakaekuja na jina lake.Baada ya bibi titi mohamed kulikuwa na mama mmoja aliyeshika uenyekiti wa uwt halafu baadaye ndio akashika sofia kawawa.Huyo mama bahati mbaya simkumbuki jina.
Ninakumbuka mkutano wa UWT mwaka 1977 ulifanyika UDSM, mama yangu alikuwa mjumbe. Sikumbuki mengi zaidi ya kuwa tulikuwa tunapelekwa jioni UDSM kumuona kwani alitumia muda mwingi kwenye shughuli za chama.Mama Sophia alikuwa mwenyekiti kwa muda mrefu. Namkumbuka alikuja chuoni kwetu akatoa speech moja kabambe kuhusu ndoa za kiislam na vithumuni anavyolipwa mwanamke anapoachika. She was so strong. Tatizo nilikuwa TYL wakati huo na baada ya hapo mimi na siasa tukawa mbali mbali tokana na majukumu yangu.
Ninakumbuka mkutano wa UWT mwaka 1977 ulifanyika UDSM, mama yangu alikuwa mjumbe. Sikumbuki mengi zaidi ya kuwa tulikuwa tunapelekwa jioni UDSM kumuona kwani alitumia muda mwingi kwenye shughuli za chama.
Mama Sofia alipita Tena bila kupingwa nafasi ya uwenyekiti
Ndiyo kipindi nilikuwa chuo. Huyo mama alikuwa so charismatic hata mme wake asingeweza kutoa hotuba kama mama. Those were the real politicians who ment what they said siyo hawa wa mipasho. Sidhani kama Mama Sophia angepinga wasichana wanaopata ujauzito kuendelea na masomo. It is a shame to our politicians ambao waume zao ndo ...... Ulizia Mhu alikuwa anakuwaje akenda NY halafu mke wake anakuja kutoa hayo maneno ya kejeri.Ninakumbuka mkutano wa UWT mwaka 1977 ulifanyika UDSM, mama yangu alikuwa mjumbe. Sikumbuki mengi zaidi ya kuwa tulikuwa tunapelekwa jioni UDSM kumuona kwani alitumia muda mwingi kwenye shughuli za chama.
Mama Sofia alipita Tena bila kupingwa nafasi ya uwenyekiti
Ninatamani kusikia hotuba zake kama zilihifadhiwa, hawa ni wamama waliopata elimu enzi za mkoloni nacwakijua adha ya kukandamizwa na umuhimu wa mwanamke katika jamii.Ndiyo kipindi nilikuwa chuo. Huyo mama alikuwa so charismatic hata mme wake asingeweza kutoa hotuba kama mama. Those were the real politicians who ment what they said siyo hawa wa mipasho. Sidhani kama Mama Sophia angepinga wasichana wanaopata ujauzito kuendelea na masomo. It is a shame to our politicians ambao waume zao ndo ...... Ulizia Mhu alikuwa anakuwaje akenda NY halafu mke wake anakuja kutoa hayo maneno ya kejeri.
RTD watakuwa nazo I mean TBC sababu wana maktaba kubwa pale. Kama una influency na watu wa huko unaweza zipata. Si unaona wanavyoweza kutoa zile za Mwalimu kidogo kidogo. Hotuba nyingine nzuri ni ya Bibi Titi alipokuwa ametoka Jela. She was not hypocrite Mtu alimtoa jela halafu yeye kaja kumkandia lakini wakati huo mwalimu kesha jichokea.Ninatamani kusikia hotuba zake kama zilihifadhiwa, hawa ni wamama waliopata elimu enzi za mkoloni nacwakijua adha ya kukandamizwa na umuhimu wa mwanamke katika jamii.
Asante sana,RTD watakuwa nazo I mean TBC sababu wana maktaba kubwa pale. Kama una influency na watu wa huko unaweza zipata. Si unaona wanavyoweza kutoa zile za Mwalimu kidogo kidogo. Hotuba nyingine nzuri ni ya Bibi Titi alipokuwa ametoka Jela. She was not hypocrite Mtu alimtoa jela halafu yeye kaja kumkandia lakini wakati huo mwalimu kesha jichokea.
1977 hata sijazaliwa,Hivi Kawawa alikuwa na wake wangapi ?Huyu Sophia Kawawa alikuwa na fani gani ?Ninakumbuka mkutano wa UWT mwaka 1977 ulifanyika UDSM, mama yangu alikuwa mjumbe. Sikumbuki mengi zaidi ya kuwa tulikuwa tunapelekwa jioni UDSM kumuona kwani alitumia muda mwingi kwenye shughuli za chama.
Mama Sofia alipita Tena bila kupingwa nafasi ya uwenyekiti
Alikufa kwa ajali ama aliugua ?Nilimjua kwenye shughuli za UWT tu, Huyu ndiyo official wife wa mzee Kawawa niliyemfahamu.
Ninadhani UWT hawajafanya ya kutosha kuwa enzi watu hawa. Kukuta kuwa kuwe na kitu kama hosteli ya Sofia Kawawa pale UDSM kusaidia wanafunzi wa kikeNi muhimu watu hawa wakakumbukwa japo kwa speech zao walizozitoa enzi zao. Zina mantiki sana.
Tushangae wote[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Duuh, 1977 .???
Asante kwa masahihisho ni miaka nyingi nimeipata hiyo. It was 77 or 78 hivyo nimechanganya.Mke anapata sumuni(1/8) kama mgao wake wa mirathi sio baada ya kuachika.