Mama Sofia Kawawa

Asante kwa masahihisho ni miaka nyingi nimeipata hiyo. It was 77 or 78 hivyo nimechanganya.
Ila Sophia alikuwa na maneno ya kuchomekea hasa yale ya "kuhamasisha viungo"
 
Ninadhani UWT hawajafanya ya kutosha kuwa enzi watu hawa. Kukuta kuwa kuwe na kitu kama hosteli ya Sofia Kawawa pale UDSM kusaidia wanafunzi wa kike


Mzumbe kuna bweni linaitwa Sofia ila sijui km linamalizikia na kawawa
 
duuh madam,kumbe menopose tayari?! hongera
 
Nnachokumbuka ni kuwa alienda zanzibar huko na akakashifu dini za watu wakamsomea albadiri na haikumwacha salama
 
Mie nakumbuka alifariki siku moja na mtangazaji wa Redio Tanzania, kanda ya Ziwa Dominick Chilambo
 
Unakumbuka au ulisoma sehemu. Kipindi huyu mama anafariki we bado ulikuwa kiunoni mwa baba yako
Nitake radhi πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Kama nimeingia JF mwaka 2007 nikiwa na akili zangu zote, na huyo mama alifariki mwaka 1995 sasa iweje bado niwe kiunoni mwa mzee!!!!
 
Nitake radhi πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Kama nimeingia JF mwaka 2007 nikiwa na akili zangu zote, na huyo mama alifariki mwaka 1995 sasa iweje bado niwe kiunoni mwa mzee!!!!
Kuna vitoto vina miaka 10 hapa JF na vinatongoza wamama inbox balaa. Usijitetee kipare. Niamkie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…