mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Humu Kama jeshini umri sio inshuKumbe wengine ni dada zangu humu halafu hua nahisi ni mabinti kwa komenti zao.
Ila its all right kujiachia imo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humu Kama jeshini umri sio inshuKumbe wengine ni dada zangu humu halafu hua nahisi ni mabinti kwa komenti zao.
Ila its all right kujiachia imo.
Ila Sophia alikuwa na maneno ya kuchomekea hasa yale ya "kuhamasisha viungo"Asante kwa masahihisho ni miaka nyingi nimeipata hiyo. It was 77 or 78 hivyo nimechanganya.
Ila Sophia alikuwa na maneno ya kuchomekea hasa yale ya "kuhamasisha viungo"Asante kwa masahihisho ni miaka nyingi nimeipata hiyo. It was 77 or 78 hivyo nimechanganya.
Sijakupata.Ila Sophia alikuwa na maneno ya kuchomekea hasa yale ya "kuhamasisha viungo"
Ninadhani UWT hawajafanya ya kutosha kuwa enzi watu hawa. Kukuta kuwa kuwe na kitu kama hosteli ya Sofia Kawawa pale UDSM kusaidia wanafunzi wa kike
Nimekomaaaa. Mama yangu kazaliwa mwaka 1972. Amenizaa akiwa na miaka 18. Sasa hivi Ana 45 Mimi 27.Mkirusha vi massage kule inbox mjue mnatongoza waliowazidi umri kwa mbali
ndio ujue kuna watu washasoma kilometa humu, jamani faizafoxy yupo sijamsikia siku nyingiDuuh, 1977 .???
😀😀😀😀😀😀😀😀Kumbe wengine ni dada zangu humu halafu hua nahisi ni mabinti kwa komenti zao.
Ila its all right kujiachia imo.
kumbe bado ni spring chicken, unatafunika mpaka mifupa tena bila kutemaNimekomaaaa. Mama yangu kazaliwa mwaka 1972. Amenizaa akiwa na miaka 18. Sasa hivi Ana 45 Mimi 27.
duuh madam,kumbe menopose tayari?! hongeraNinakumbuka mkutano wa UWT mwaka 1977 ulifanyika UDSM, mama yangu alikuwa mjumbe. Sikumbuki mengi zaidi ya kuwa tulikuwa tunapelekwa jioni UDSM kumuona kwani alitumia muda mwingi kwenye shughuli za chama.
Mama Sofia alipita Tena bila kupingwa nafasi ya uwenyekiti
Kuna hadithi zilikuwa zinatembea kuwa mzee Kawawa alikuwa dhohofu bin khali... basi Julius akawa anamsaidia huyu mama ndo wakaugua kwa pamoja.Aliugua ilikuwa 1995 kama sikosei
may be, perhaps, probablyKuna hadithi zilikuwa zinatembea kuwa mzee Kawawa alikuwa dhohofu bin khali... basi Julius akawa anamsaidia huyu mama ndo wakaugua kwa pamoja.
Mkiambiwa muamkie wakubwa zenu mnaleta viburi.Tushangae wote[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Unakumbuka au ulisoma sehemu. Kipindi huyu mama anafariki we bado ulikuwa kiunoni mwa baba yakoMie nakumbuka alifariki siku moja na mtangazaji wa Redio Tanzania, kanda ya Ziwa Dominick Chilambo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] jeshini hakuna shikamoo. Ni jambo Afande.Mkiambiwa muamkie wakubwa zenu mnaleta viburi.
Nitake radhi 🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁Unakumbuka au ulisoma sehemu. Kipindi huyu mama anafariki we bado ulikuwa kiunoni mwa baba yako
Kuna vitoto vina miaka 10 hapa JF na vinatongoza wamama inbox balaa. Usijitetee kipare. NiamkieNitake radhi 🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁
Kama nimeingia JF mwaka 2007 nikiwa na akili zangu zote, na huyo mama alifariki mwaka 1995 sasa iweje bado niwe kiunoni mwa mzee!!!!