Hakika Asprin wewe ndie unatakiwa uniamkie! Au unahadaika na hizi comments za humu tunazotoa, humu ni sehemu tu ya kucheka na kuongeza siku hahahahahaha, huku JF ukitathimini kwa kuangalia comments utaingia chaka aisee!!!!Kuna vitoto vina miaka 10 hapa JF na vinatongoza wamama inbox balaa. Usijitetee kipare. Niamkie
Thabita SiwaleBaada ya bibi titi mohamed kulikuwa na mama mmoja aliyeshika uenyekiti wa uwt halafu baadaye ndio akashika sofia kawawa.Huyo mama bahati mbaya simkumbuki jina.
Hii hekima ya babu kumwamkia mjukuu imetokea upare ya Mwanga au Same?Hakika Asprin wewe ndie unatakiwa uniamkie! Au unahadaika na hizi comments za humu tunazotoa, humu ni sehemu tu ya kucheka na kuongeza siku hahahahahaha, huku JF ukitathimini kwa kuangalia comments utaingia chaka aisee!!!!
We umezaliwa mwaka elfu mbili na ngapi?mi mwenyewe nimeshtuka 1977 ha ha ha ha ha
Nadhani ni Thabita Siwale... usije ukasema nimegugo... mi nimekula chumvi nyingiBaada ya bibi titi mohamed kulikuwa na mama mmoja aliyeshika uenyekiti wa uwt halafu baadaye ndio akashika sofia kawawa.Huyo mama bahati mbaya simkumbuki jina.
early 80'sWe umezaliwa mwaka elfu mbili na ngapi?
Huyo Tabitha Siwale nasikia eti zamani alikuwa mkuu wa shule ya Korogwe wasichana, akaja kiongozi mmoja wa kitaifa kutembelea huko, baadae akampa maelekezo kuwa anataka mwanafunzi wa "kupoozea" usiku, huyo mama akampelekea huyo mheshimiwa mkware msichana ambaye ni mwanae wa kumzaa, hahahhaThabita Siwale
DuuHuyo Tabitha Siwale nasikia eti zamani alikuwa mkuu wa shule ya Korogwe wasichana, akaja kiongozi mmoja wa kitaifa kutembelea huko, baadae akampa maelekezo kuwa anataka mwanafunzi wa "kupoozea" usiku, huyo mama akampelekea huyo mheshimiwa mkware msichana ambaye ni mwanae wa kumzaa, hahahha
Mheshimiwa mwenyewe alikuwa mbunge wa Same miaka hiyo na waziri wa elimu ndugu na hayati CHEDIEL MGONJA hahahahahahahha
Kumbe ushaingia kundi la wahenga. Karibu sana tuachie misemoearly 80's
Mbona kama unamtaja kijanja!!kwani kulikua na mpare mwingine alikua Waziri wa Elimu kipindi cha JKN tofauti na Mgonja?Mheshimiwa mwenyewe alikuwa mbunge wa Same miaka hiyo na waziri wa elimu ndugu na hayati CHEDIEL MGONJA hahahahahahahha
Ngoja aje kaka barafu hapa atatusaidia. Mzee mwenzangu barafu njoo hukuShukran mkuu, inawezekana humu jukwaani kuna atakaekuja na jina lake.
ganda la mua la jana chungu kaona kivunoKumbe ushaingia kundi la wahenga. Karibu sana tuachie misemo
Ni kweli nasikia ni huyo mzee Chediel MgonjaMbona kama unamtaja kijanja!!kwani kulikua na mpare mwingine alikua Waziri wa Elimu kipindi cha JKN tofauti na Mgonja?
Yale maneno ya kutopanua mapaja ili mdudu asiingie? [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Ndiyo kipindi nilikuwa chuo. Huyo mama alikuwa so charismatic hata mme wake asingeweza kutoa hotuba kama mama. Those were the real politicians who ment what they said siyo hawa wa mipasho. Sidhani kama Mama Sophia angepinga wasichana wanaopata ujauzito kuendelea na masomo. It is a shame to our politicians ambao waume zao ndo ...... Ulizia Mhu alikuwa anakuwaje akenda NY halafu mke wake anakuja kutoa hayo maneno ya kejeri.
Hawakawii kusema mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio[emoji5][emoji5][emoji5]Mkirusha vi massage kule inbox mjue mnatongoza waliowazidi umri kwa mbali
Wamaanisha "viungo " pendwa mkuu?Ila Sophia alikuwa na maneno ya kuchomekea hasa yale ya "kuhamasisha viungo"
Tena mama zaoMkirusha vi massage kule inbox mjue mnatongoza waliowazidi umri kwa mbali
Hiyo walishakuwahi wenzio bhana...ganda la mua la jana chungu kaona kivuno