Mama Sofia Kawawa

Hapa unazungumzia mwaka gani? Msije mkawachanganya Mama Sofia Kawawa na Mama Sofia Simba. Ni watu wawili tofauti kabisa.
 
Hapa unazungumzia mwaka gani? Msije mkawachanganya Mama Sofia Kawawa na Mama Sofia Simba. Ni watu wawili tofauti kabisa.
Tunaongelea mama Sophia Kawawa. Huyu kaingia juzi watu tumeshatupa na kadi za vyama? Nimesema 77 nilikuwa chuo hivyo you can count how long ago before Simba came in the movie.
 
Labda mwenye nakala ya kitabu cha historia ya marehemu mumewe wanaweza wakawa wamegusia kidogo kuhusu historia ya Sophia..."Simba wa Vita katika historia ya Tanzania", kimeandikwa na Dk. John Magotti
 
Kunbe mama yako ana sifa zote za kuwa mchepuko wangu. Mwaka 1972 mi ndo naoa mke wa tatu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] . Sawa mchukue mama yangu. Nimchukue mama yako.
si unajua uzee mwisho chalinze
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] . Sawa mchukue mama yangu. Nimchukue mama yako.
si unajua uzee mwisho chalinze
We hata mke wangu huthubutu kumwangalia, sembuse mama?
 
1977 ulikuwepo ??????
 
Wengine si wakubwa kihivyo ni kutokana na juhudi za wazazi wao kuwaelezea historia ya nchi yao, juhudi zao wenyewe kujisomea na kufuatilia mambo. Utashangaa mtu anakwambia wewe utakuwa mtu mzima sana kwa sababu tu unafahamu mambo mengi ya zamani. Tatizo siku hizi na hii internet watu hawasomi kabisa vitabu hivyo hawayajui mengi kuhusu nchi yetu na wala hawayafuatilii.

CC: sky Éclat

Kumbe wengine ni dada zangu humu halafu hua nahisi ni mabinti kwa komenti zao.

Ila its all right kujiachia imo.
 
Kejeri= Kejeli.
 
Upo sawa lakini mdau anakwambia anakumbuka mkutano wa 1977 wa udsm, kisha mwingine anasema alikua chuo udsm mwaka huo.

Ambaye anajua historia kwa kusomea atajulikana na ambaye alikuwepo atajulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…