Mama Sofia Kawawa

Mama Sofia Kawawa

Mama Sophia alikuwa mwenyekiti kwa muda mrefu. Namkumbuka alikuja chuoni kwetu akatoa speech moja kabambe kuhusu ndoa za kiislam na vithumuni anavyolipwa mwanamke anapoachika. She was so strong. Tatizo nilikuwa TYL wakati huo na baada ya hapo mimi na siasa tukawa mbali mbali tokana na majukumu yangu.
Hapa unazungumzia mwaka gani? Msije mkawachanganya Mama Sofia Kawawa na Mama Sofia Simba. Ni watu wawili tofauti kabisa.
 
Hapa unazungumzia mwaka gani? Msije mkawachanganya Mama Sofia Kawawa na Mama Sofia Simba. Ni watu wawili tofauti kabisa.
Tunaongelea mama Sophia Kawawa. Huyu kaingia juzi watu tumeshatupa na kadi za vyama? Nimesema 77 nilikuwa chuo hivyo you can count how long ago before Simba came in the movie.
 
Labda mwenye nakala ya kitabu cha historia ya marehemu mumewe wanaweza wakawa wamegusia kidogo kuhusu historia ya Sophia..."Simba wa Vita katika historia ya Tanzania", kimeandikwa na Dk. John Magotti
 
Kunbe mama yako ana sifa zote za kuwa mchepuko wangu. Mwaka 1972 mi ndo naoa mke wa tatu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] . Sawa mchukue mama yangu. Nimchukue mama yako.
si unajua uzee mwisho chalinze
 
Ninakumbuka mkutano wa UWT mwaka 1977 ulifanyika UDSM, mama yangu alikuwa mjumbe. Sikumbuki mengi zaidi ya kuwa tulikuwa tunapelekwa jioni UDSM kumuona kwani alitumia muda mwingi kwenye shughuli za chama.
Mama Sofia alipita Tena bila kupingwa nafasi ya uwenyekiti
1977 ulikuwepo ??????
 
Wengine si wakubwa kihivyo ni kutokana na juhudi za wazazi wao kuwaelezea historia ya nchi yao, juhudi zao wenyewe kujisomea na kufuatilia mambo. Utashangaa mtu anakwambia wewe utakuwa mtu mzima sana kwa sababu tu unafahamu mambo mengi ya zamani. Tatizo siku hizi na hii internet watu hawasomi kabisa vitabu hivyo hawayajui mengi kuhusu nchi yetu na wala hawayafuatilii.

CC: sky Éclat

Kumbe wengine ni dada zangu humu halafu hua nahisi ni mabinti kwa komenti zao.

Ila its all right kujiachia imo.
 
Ndiyo kipindi nilikuwa chuo. Huyo mama alikuwa so charismatic hata mme wake asingeweza kutoa hotuba kama mama. Those were the real politicians who ment what they said siyo hawa wa mipasho. Sidhani kama Mama Sophia angepinga wasichana wanaopata ujauzito kuendelea na masomo. It is a shame to our politicians ambao waume zao ndo ...... Ulizia Mhu alikuwa anakuwaje akenda NY halafu mke wake anakuja kutoa hayo maneno ya kejeri.
Kejeri= Kejeli.
 
Wengine si wakubwa kihivyo ni kutokana na juhudi za wazazi wao kuwaelezea historia ya nchi yao, juhudi zao wenyewe kujisomea na kufuatilia mambo. Utashangaa mtu anakwambia wewe utakuwa mtu mzima sana kwa sababu tu unafahamu mambo mengi ya zamani. Tatizo siku hizi na hii internet watu hawasomi kabisa vitabu hivyo hawayajui mengi kuhusu nchi yetu na wala hawayafuatilii.

CC: sky Éclat
Upo sawa lakini mdau anakwambia anakumbuka mkutano wa 1977 wa udsm, kisha mwingine anasema alikua chuo udsm mwaka huo.

Ambaye anajua historia kwa kusomea atajulikana na ambaye alikuwepo atajulikana.
 
Back
Top Bottom