Upo sawa lakini mdau anakwambia anakumbuka mkutano wa 1977 wa udsm, kisha mwingine anasema alikua chuo udsm mwaka huo.
Ambaye anajua historia kwa kusomea atajulikana na ambaye alikuwepo atajulikana.
Nimeshajibu hahahahahahaumeshajibu ule uzi wa kuleeee?!
Kumbe wewe ni grand kabisa Hongera MkuuNinakumbuka mkutano wa UWT mwaka 1977 ulifanyika UDSM, mama yangu alikuwa mjumbe. Sikumbuki mengi zaidi ya kuwa tulikuwa tunapelekwa jioni UDSM kumuona kwani alitumia muda mwingi kwenye shughuli za chama.
Mama Sofia alipita Tena bila kupingwa nafasi ya uwenyekiti
Marahaba. Mama alitoa speech mpaka watu tukatamani tuingie uwt lakini tukagundua yeye alikuwa yeye siyo watu chini yake.Shkamoo dada.
Asante kwa kunikosoa kama ni kweli sababu sina kamusi hapa. Big up.Kejeri= Kejeli.
Upo sawa lakini mdau anakwambia anakumbuka mkutano wa 1977 wa udsm, kisha mwingine anasema alikua chuo udsm mwaka huo.
Ambaye anajua historia kwa kusomea atajulikana na ambaye alikuwepo atajulikana.
UWT:
1. Bibi Titi
2. Mama Mchauru
3. Mama Sofia Kawawa.
Alitoa hotuba yake nzuri sana akiwa Mbeya yenye lengo la kuwahamasisha wanawake wa UWT.
Hutuba yake iliwataka Wamama kushirikiana katika shughuli za kuzalisha Mali (ujasiria Mali)
kwa vile wao ndiyo hubeba mzigo mkubwa wa kualea watoto pia kuweka family zao vizuri kimaisha.
Alishauri kuwepo kuweka sheria ya kuwa na mke mmoja kwa wakati mmoja (Yaani mtu akioa basi awe na mmoja hadi watakapofarakana au kutalikiana).
Alisisitizia Kwa kusema hata kitabu cha Qur'an tukufu haijasema NI LAZIMA WANAUME WAONE WANAWAKE ZAIDI YA MMOJA ILA ANAPOONA INAFAA NA ANA UWEZO WA KUWAHUDUMIA WOTE NA AOE VINGINEVYO ABAKI NA MMOJA .
Na kwa vile hii hasa iliwahusu sana Waislam ambao huweza kuwa na wake 4 kwa wakati mmoja.
Alisema wanawake wanashindwa kushirikiana vyema kwa vile huchukiana kiwivu ya kugombea Mme wao.
Matamshi ambayo yalipingwa vikali sana na Mashekhe wa Zanzibar na kusababisha sintofahamu na maandamano makali wakidai mama kakashifu Qur'an.
Mzee Kawawa na Mzee Aboud Jumbe ndiyo walisawazosha na kumaliza hilo vyema
Mwenyezi Mungu awaweke mahali pema peponi Amina
Ilipita miaka mingi ndipo alifariki na sio albadili kama mmoja Wetu alivyosema
Ninakumbuka mkutano wa UWT mwaka 1977 ulifanyika UDSM, mama yangu alikuwa mjumbe. Sikumbuki mengi zaidi ya kuwa tulikuwa tunapelekwa jioni UDSM kumuona kwani alitumia muda mwingi kwenye shughuli za chama.
Mama Sofia alipita Tena bila kupingwa nafasi ya uwenyekiti
mimi sio mtoto mkuuUlidhani ni mtoto mwenzio?
Mama yangu ametoka chuo 76 sasa hv amesha staafu.... Sasa na wewe si umeshakuwa bibi!?..... Uuuwwwiiii!Tunaongelea mama Sophia Kawawa. Huyu kaingia juzi watu tumeshatupa na kadi za vyama? Nimesema 77 nilikuwa chuo hivyo you can count how long ago before Simba came in the movie.
Mbona umeshangaa mtu kuwa duniani mwaka 1977?mimi sio mtoto mkuu
navomchukulia nilidhani ni mwenzetu wa miaka ya 80Mbona umeshangaa mtu kuwa duniani mwaka 1977?
Usikae kimya, kampe shikamoo yake bhana...Nimepaona Mkuu hapo pa 1977, lakini ngoja tu ninyamaze.
Ila 77 na 80 mbona sio mbali kiviiile?navomchukulia nilidhani ni mwenzetu wa miaka ya 80
nikisema 80 naanza 80 hadi 89Ila 77 na 80 mbona sio mbali kiviiile?
Na mimi pia namaanisha 77 na 89 sio mbali kiviiiile...nikisema 80 naanza 80 hadi 89
navomchukulia nilidhani ni mwenzetu wa miaka ya 80