Mama Sofia Kawawa

Mama Sofia Kawawa

Upo sawa lakini mdau anakwambia anakumbuka mkutano wa 1977 wa udsm, kisha mwingine anasema alikua chuo udsm mwaka huo.

Ambaye anajua historia kwa kusomea atajulikana na ambaye alikuwepo atajulikana.

umeshajibu ule uzi wa kuleeee?!
 
Ninakumbuka mkutano wa UWT mwaka 1977 ulifanyika UDSM, mama yangu alikuwa mjumbe. Sikumbuki mengi zaidi ya kuwa tulikuwa tunapelekwa jioni UDSM kumuona kwani alitumia muda mwingi kwenye shughuli za chama.
Mama Sofia alipita Tena bila kupingwa nafasi ya uwenyekiti
Kumbe wewe ni grand kabisa Hongera Mkuu
 
Nimepaona Mkuu hapo pa 1977, lakini ngoja tu ninyamaze.

Upo sawa lakini mdau anakwambia anakumbuka mkutano wa 1977 wa udsm, kisha mwingine anasema alikua chuo udsm mwaka huo.

Ambaye anajua historia kwa kusomea atajulikana na ambaye alikuwepo atajulikana.
 
Katibu mkuu wake alikuwa bibi yangu thecla mchauru (rip) na baadae akawa mkuu wa chuo cha maendeleo ya jamii lungemba huko mafinga
 
UWT:
1. Bibi Titi
2. Mama Mchauru 3. 3. Mama Sofia Kawawa.

Alitoa hotuba yake nzuri sana akiwa Mbeya yenye lengo la kuwahamasisha wanawake wa UWT.

Hutuba yake iliwataka Wamama kushirikiana katika shughuli za kuzalisha Mali (ujasiria Mali)
kwa vile wao ndiyo hubeba mzigo mkubwa wa kualea watoto pia kuweka family zao vizuri kimaisha.

Alishauri kuwepo kuweka sheria ya kuwa na mke mmoja kwa wakati mmoja (Yaani mtu akioa basi awe na mmoja hadi watakapofarakana au kutalikiana).

Alisisitizia Kwa kusema hata kitabu cha Qur'an tukufu haijasema NI LAZIMA WANAUME WAONE WANAWAKE ZAIDI YA MMOJA ILA ANAPOONA INAFAA NA ANA UWEZO WA KUWAHUDUMIA WOTE NA AOE VINGINEVYO ABAKI NA MMOJA .

Na kwa vile hii hasa iliwahusu sana Waislam ambao huweza kuwa na wake 4 kwa wakati mmoja.

Alisema wanawake wanashindwa kushirikiana vyema kwa vile huchukiana kiwivu ya kugombea Mme wao.

Matamshi ambayo yalipingwa vikali sana na Mashekhe wa Zanzibar na kusababisha sintofahamu na maandamano makali wakidai mama kakashifu Qur'an.

Mzee Kawawa na Mzee Aboud Jumbe ndiyo walisawazosha na kumaliza hilo vyema

Mwenyezi Mungu awaweke mahali pema peponi Amina

Ilipita miaka mingi ndipo alifariki na sio albadili kama mmoja Wetu alivyosema
 
UWT:
1. Bibi Titi
2. Mama Mchauru
3. Mama Sofia Kawawa.

Alitoa hotuba yake nzuri sana akiwa Mbeya yenye lengo la kuwahamasisha wanawake wa UWT.

Hutuba yake iliwataka Wamama kushirikiana katika shughuli za kuzalisha Mali (ujasiria Mali)
kwa vile wao ndiyo hubeba mzigo mkubwa wa kualea watoto pia kuweka family zao vizuri kimaisha.

Alishauri kuwepo kuweka sheria ya kuwa na mke mmoja kwa wakati mmoja (Yaani mtu akioa basi awe na mmoja hadi watakapofarakana au kutalikiana).

Alisisitizia Kwa kusema hata kitabu cha Qur'an tukufu haijasema NI LAZIMA WANAUME WAONE WANAWAKE ZAIDI YA MMOJA ILA ANAPOONA INAFAA NA ANA UWEZO WA KUWAHUDUMIA WOTE NA AOE VINGINEVYO ABAKI NA MMOJA .

Na kwa vile hii hasa iliwahusu sana Waislam ambao huweza kuwa na wake 4 kwa wakati mmoja.

Alisema wanawake wanashindwa kushirikiana vyema kwa vile huchukiana kiwivu ya kugombea Mme wao.

Matamshi ambayo yalipingwa vikali sana na Mashekhe wa Zanzibar na kusababisha sintofahamu na maandamano makali wakidai mama kakashifu Qur'an.

Mzee Kawawa na Mzee Aboud Jumbe ndiyo walisawazosha na kumaliza hilo vyema

Mwenyezi Mungu awaweke mahali pema peponi Amina

Ilipita miaka mingi ndipo alifariki na sio albadili kama mmoja Wetu alivyosema
 
Ninakumbuka mkutano wa UWT mwaka 1977 ulifanyika UDSM, mama yangu alikuwa mjumbe. Sikumbuki mengi zaidi ya kuwa tulikuwa tunapelekwa jioni UDSM kumuona kwani alitumia muda mwingi kwenye shughuli za chama.
Mama Sofia alipita Tena bila kupingwa nafasi ya uwenyekiti
 
Tunaongelea mama Sophia Kawawa. Huyu kaingia juzi watu tumeshatupa na kadi za vyama? Nimesema 77 nilikuwa chuo hivyo you can count how long ago before Simba came in the movie.
Mama yangu ametoka chuo 76 sasa hv amesha staafu.... Sasa na wewe si umeshakuwa bibi!?..... Uuuwwwiiii!
 
Back
Top Bottom