pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Wapendwa nawasalimu kwa jina la Jamhuri, kazi iendelee
Binafsi nimekuwa nawaza sana kuhusu utawala wa huyu Mama yetu SSH namna anavyopiga makasia kuirudisha Tz ktk utawala wa kisheria, haki na usawa tofauti na mtangulizi wake.
Wote tunatambua kuwa mtangulizi wake (mwendazake) alikuwa haambiliki, katili, mwonevu, alijaa ukabila na ukanda alifikia hadi mahala pa kutenga wengine kutokana na makabila na ukanda wao! Watu walifilisiwa mali zao, waliporwa fedha zao mchana kweupe na watu kama sabaya na makonda)
Sasa Mama yetu SSH amekuja kwa kusudi la Mungu ambae tulimlilia na akasikia kilio chetu. Wajibu wetu wa Tz ni kuunga mkono Mama yetu SSH katika kujenga uchumi ambao uliharibiwa vibaya sana na Mwendazake (wenye akili ndogo hawawezi kuona hili) ili tuweze kujenga nchi yetu upya na kurudi ktk umoja wetu tuliokuwa nao kabla ya awamu ya 5 kuingia madarakani.
Mama yetu SSH unaupiga mwingi sana, tunakuombea kwa Mola akupe afya, uvumilivu na ari ya kuchapa kazi ili kwa pamoja tuweze kupata maendeleo na ustawi wa Nchi yetu.