Mama Tabitha Siwale , waziri enzi za Mwalimu, afariki dunia!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
1741861446924.png

Mama Tabitha Siwale, mwalimu na ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Elimu, miaka ya Mwalimu Nyerere, amefariki dunia usiku kuamkia leo.
Tetesi zimetolewa na ndugu wa karibu.
Mama Siwale ni kati ya mawaziri wanawake wachache waliotumikia nchi bila mawaa!
Juzi ilikuwa Prof Sarungi, passing of times
 
Doooh! Hakika sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.
Ndiye waziri aliyewasilisha bungeni na aliyesimamia sheria ya Ardhi ya mwaka 1999.
 
Nyakati ngumu hazipiti ila wati wagumu wanapita, pumzika kwa amani Iron Lady

Kweli alikuwa Iron Lady
 
View attachment 3269029

Mama Tabitha Siwale, mwalimu na ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Elimu, miaka ya Mwalimu Nyerere, amefariki dunia usiku kuamkia leo.
Tetesi zimetolewa na ndugu wa karibu.
Mama Siwale ni kati ya mawaziri wanawake wachache waliotumikia nchi bila mawaa!
Juzi ilikuwa Prof Sarungi, passing of times
Pumzika kwa amani Mama yetu Mama Siwale.
 
Back
Top Bottom