Mama Tabitha Siwale , waziri enzi za Mwalimu, afariki dunia!

Mama Tabitha Siwale , waziri enzi za Mwalimu, afariki dunia!

View attachment 3269029

Mama Tabitha Siwale, mwalimu na ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Elimu, miaka ya Mwalimu Nyerere, amefariki dunia usiku kuamkia leo.
Tetesi zimetolewa na ndugu wa karibu.
Mama Siwale ni kati ya mawaziri wanawake wachache waliotumikia nchi bila mawaa!
Juzi ilikuwa Prof Sarungi, passing of times
Sasa si tungengoja tuka confirm ? Tusije kuua mtu angali hai....
 
Kama hakua na shida yoyote enzi za utawala wake RIP.. Otherwise let nature ifanye inavyoweza.
 
Sijasema haijatokea wala haikutokea issue ni kusema kama factual alafu ndani source tetesi ya ndugu wa karibu
Tetesi ni tahadhari tu, na fact imekuwa justified.
Muda wa tetesi unakoma pale fact inpokuwa justified, now you know.
 
Tetesi ni tahadhari tu, na fact imekuwa justified.
Muda wa tetesi unakoma pale fact inpokuwa justified, now you know.
Haujapata point yangu siongelei huyu bali naongelea issue kwa ujumla kama nikisikia kwa wadau kwa Jidu amefariki naweza kuuliza hivi mna habari zozote kuhusu JLM; Sio naanza kutangazia umati kwamba Jidu is no More alafu nikiulizwa imekuwaje au ni vipi unaniambia ni tetesi kutoka kwa mdau... In this day and age ambapo wengi wamezushiwa vifo its just a precaution...

Anyway sasa hivi naweza kutoa RIP yangu as its now a fact.. (sad as it may be)
 
Apumzike kwa amani Mama Siwale, mmoja wa wanasiasa wachache wa awamu ya kwanza waliokuwa bado wapo hai hatimaye ametwaliwa.
 
Back
Top Bottom