Mama Tabitha Siwale , waziri enzi za Mwalimu, afariki dunia!

Doooh! Hakika sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.
Ndiye waziri aliyewasilisha bungeni na aliyesimamia sheria ya Ardhi ya mwaka 1999.
 
Nyakati ngumu hazipiti ila wati wagumu wanapita, pumzika kwa amani Iron Lady

 
Kweli alikuwa Iron Lady
 
amenifundisha communication skills
 
Pumzika kwa amani Mama yetu Mama Siwale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…