LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,483
- 3,369
Wa TZ bana, wengi waliondokea kuhadaika nae sana na maushauri yake, hakuwa mtaalamu wala nn, mambo ya uzoefu tu, na that time ilikuwa mtu kuonekana runingani hata ukiongea upupu unaonekana unajua sana!

Ndio nani huyo...
Ndio nani huyo...
Kwa kumbukumbu yangu ya haraka haraka baada ya kusikia jina hili nikajua ni yule aliyekuwaga anawapumbaza wanainchi ktk kusema anaelimisha ktk vipindi fulani miaka 2006 ndio mara ya mwisho kumsikia akilonga ndani ya studio ya Radio One bila ya kukosea!
amerudi kufanya nini?Mama Terry ndani ya Clouds FM, pole mama kwa kufiwa na mume wako huko Nigeria. Nakupongeaza ulipokuwa huko hukubweteka, uliendelea kuelimisha jamii huko Delta State Nigeria. Mama Terry ni mfano wa kuigwa. Karibu nyumbani mama.
Huyu mama alikuwa na dawa zake za ajabu ajabu sana.....Hana Tofauti na Ndodi!!