Mama wa bibi harusi aona aibu: kwenye harusi wa binti yake. Aona aibu mbele ya wageni

Mama wa bibi harusi aona aibu: kwenye harusi wa binti yake. Aona aibu mbele ya wageni

Baba ndio kaona aibu kwa kulelewa mtoto na me mwenzie ila kakauka, mama huenda alikuwa na tatizo lingine sio aibu, na mtoto hakupenda kuficha ukweli na ndio maana akamtambulisha na baba mlezi Kuna la kujifunza hapo
 
Mmoja wapo kati ya mababa zake hapo alipaswa akaushe asihudhurie sherehe hiyo ili kuondoa minong'ono ya hovyo.
Yaani jamaa alee mtoto kwa mapenzi na gharama zote asishiriki hata mtoto asingefurahia harusi yake, baba mzazi naye anataka aone kathaminiwa na mtoto, ila picha halisi baba mzazi hana kitu pale Kama kaambulia mahari ashukuru Mungu imeisha hiyo mtoto ana mpenda baba.mlezi
 
Back
Top Bottom