Baba ndio kaona aibu kwa kulelewa mtoto na me mwenzie ila kakauka, mama huenda alikuwa na tatizo lingine sio aibu, na mtoto hakupenda kuficha ukweli na ndio maana akamtambulisha na baba mlezi Kuna la kujifunza hapo
Yaani jamaa alee mtoto kwa mapenzi na gharama zote asishiriki hata mtoto asingefurahia harusi yake, baba mzazi naye anataka aone kathaminiwa na mtoto, ila picha halisi baba mzazi hana kitu pale Kama kaambulia mahari ashukuru Mungu imeisha hiyo mtoto ana mpenda baba.mlezi