Mama Wa hiali na mtafuta

Thanks Dada hakika naona kuna watu wasio jua maumivu ya kumkosa mama
 
Nimekuelewa sana Mkuu asante sana ushauri kama huu ndio ninao ukosa najikuta nikiwaza na kufikiria mengi asante sana chief
 
Wakipatikana wengi naomba unigawie mmoja nami daaah[emoji26] [emoji26]
 
Acha ujinga miaka 27 unamlilia mama, umri wa kutafuta madem huo
 
Acha ujinga miaka 27 unamlilia mama, umri wa kutafuta madem huo
Mkuu hata ukiwa na miaka elf moja chance ya mama bado inahitajika mama ni Dawa hata ukimiliki vyote lazma mama utaitaji japo akupongeze au akukosoe lakin kwangu hiyo haipo kunawakt MTU nakua ktk wakati ambao unahitaji mawazo ya mama
 
Aiseeee inaelekea hiyo biashara yako bado inakupiga kwa kukosa ujuzi.. lipa madeni.. jifunze kujiongeza.. sio kuja kuniandika kama vile umenikopesha.. ha ha haaaaa
Upinzani wewe kweli umeishiwa... kufwaaaah kabisa


Sawa
 
huna mama wakubwa ?wadogo >? huna mashangazi ? binamu ? pole sana
 
Maneno yana hekima sana haya! Ubarikiwe!
 
Mungu akusamehe bure maake kuna watu hufanya makosa paspo kujua wanakosea
Amna faza najaribu tu kukuondolea mfadhaiko usio na msingi kwa sasa kubali matokeo kwamba mama hayupo songa mbele hakuna anayeweza kuishi milele
 
Amna faza najaribu tu kukuondolea mfadhaiko usio na msingi kwa sasa kubali matokeo kwamba mama hayupo songa mbele hakuna anayeweza kuishi milele
Sawa chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…