Mama Wa hiali na mtafuta

Mama Wa hiali na mtafuta

Yaani umeishia kunisingizia haya eeeeeeeh
Eti nafanyaje!!! ha ha haaa wapi eeeeeh
Makubwa bora umekuwa comedian na sio mtu wa siasa na kumchukia naniiii siku hizi.

Eeeeeh

unajitetea dawa ya deni ni kulipa uwe unalipa madeni ya watu sio kuzima simu.

unafikiri kutumia ID feki hutajulikana????
 
Hii ni mbunu mbadala wanayotumia maganda ya ndizi kuopoa mijimama
No plz usininukuu vibaya ndugu labda ww unawazaz wote ndio maana ila naman hata kupewa ushauri na mama ila njikuta nipo alone that why na sio vingine maake kuna mambo yanahitaji ushauri Wa mama
 
Sijui nikujibu nini
Bali nitalike tu ulichoniposti..

Labda mdau atuambie kama anataka mama wa hiali mwenye upendo kama mimi?

Ila kwa umri wake mie nitaweza kuishia kujiona kibibi kizee wakati bado nadai haswa haswa.. hakuna kuzeeka shaaa eeeeh
Mama ni mama bora tu ujitambue tu ndugu
 
I can't tel how u feel bro, very sorry. Lakn being a man ni pamoja na kukubali na kuuishi uhalisia na maisha yanaenda! Huu ni udhaifu mkubwa unaonyesha hapa. Be strong, acceppt the reality, be a man, go live your life. Achana na habari hiz!!
Sawa Mkuu nimekuelewa
 
Mm ni Kijana Wa miaka 27 ninataman na ninapenda nipate mama Wa hiali angalau namie nijivunie kutamka neno mama ,kulingana na kutokua na mama Mzazi kiukweli Nina miss kutamka kinywani mwangu neno mama ,kiukweli natamani sana na huwa naingiwa huzuni pale napokua na wenzangu wao wakijivunia mama zao so napenda angalau nimpate mama Wa hiali ili niwe namtamkia hili neno mama ,mie ni nes mkunga jinsia ni wakiume mwenye umri Wa miaka 27 mwanzo niliona kawaida tu kutokua na mama ila kadili siku ziendavyo ninatamani kuwa na mama japo nikipata shida ya kimawazo awe ananishauri hongera zenu wote wenye mama muwaheshimu sana mama mama mama jina hili nalimis saana kinywani mwangu mama popote ulipo rest in peace naomba kupata mama Wa hiari plz
Wewe ni kabila gani?
Je, umeoa?
Unawatoto?
Je! Hauna mama wadogo?
Basi naomba unijibu maswali hayo kisha tuendelee...
 
Huwezi kuupata ule upendo alokua anakupa mama ako. Na ndio maana kila siku nasema siyo kila mwanamke anaweza kuwa mama hii ni kutokana na kile nilicho experience kutoka kwa mama angu. Nawaheshimu wamama kwa sababu nao wana nafasi zao kwa familia zao kama ilivyo kua kwa mama angu. Ila jitahidi upambane na hayo unayopitia ndivyo dunia ilivyo.

Nakutakia kila la kheri mkuu. Binafsi siwezi na sitaweza.
 
Mie baba alikua mzigua ,mama alikua msukuma mama wadogo sina coz mama alizalia pekee ,mpaka sasa sina Mtoto ,na bado sjaoa
 
Huwezi kuupata ule upendo alokua anakupa mama ako. Na ndio maana kila siku nasema siyo kila mwanamke anaweza kuwa mama hii ni kutokana na kile nilicho experience kutoka kwa mama angu. Nawaheshimu wamama kwa sababu nao wana nafasi zao kwa familia zao kama ilivyo kua kwa mama angu. Ila jitahidi upambane na hayo unayopitia ndivyo dunia ilivyo.

Nakutakia kila la kheri mkuu. Binafsi siwezi na sitaweza.
Sawa Mkuu nimekuelewa
 
Mama wa kweli. Ni mama yako mzazi PEKEE.
kikubwa ni kumuombea Dua uko alipo awe salama.
Mama zetu kimwili hawako nasi Ila naamini kiroho wapo nasi.
Siku zote uwa naamini kila nilipo na mama angu yupo. Japo hayupo duniani.
MAMA MDOGO SI MAMA.
MAMA MKUBWA SI MAMA.
 
Mm ni Kijana Wa miaka 27 ninataman na ninapenda nipate mama Wa hiali angalau namie nijivunie kutamka neno mama ,kulingana na kutokua na mama Mzazi kiukweli Nina miss kutamka kinywani mwangu neno mama ,kiukweli natamani sana na huwa naingiwa huzuni pale napokua na wenzangu wao wakijivunia mama zao so napenda angalau nimpate mama Wa hiali ili niwe namtamkia hili neno mama ,mie ni nes mkunga jinsia ni wakiume mwenye umri Wa miaka 27 mwanzo niliona kawaida tu kutokua na mama ila kadili siku ziendavyo ninatamani kuwa na mama japo nikipata shida ya kimawazo awe ananishauri hongera zenu wote wenye mama muwaheshimu sana mama mama mama jina hili nalimis saana kinywani mwangu mama popote ulipo rest in peace naomba kupata mama Wa hiari plz
Naona unatafuta kupwelepwetwa wewe si bure..!
 
Sijui nikujibu nini
Bali nitalike tu ulichoniposti..

Labda mdau atuambie kama anataka mama wa hiali mwenye upendo kama mimi?

Ila kwa umri wake mie nitaweza kuishia kujiona kibibi kizee wakati bado nadai haswa haswa.. hakuna kuzeeka shaaa eeeeh
Usiji kupwelepweta mtoto wa mwenzio..!
 
1.Wewe Fanya mpamgo uoe mke atachukua nafasi ya mama. Japo sio kwa % 100.

2. Achana na kampani ya watoto. Story za watu wazima ni mke kafanya hivi mtoto wangu kafanya hivi. Kile kiwanja nataka kufanya hivi.
Watoto story zao nyingi ni mama kila dakika
Hawa wadada wa siku hizi!!!!
Sina hakika Kama kuna mtu anaweza kuwa mke na kuwa faraja Kama mama
 
Ha ha ha haaaaaaaa. .. Mbona huyu hajapishana sana na firstborn wako, yule si anatimiza 26 mwakani February?

Eeeeeh
Hii kali kama vile ulinizalisha wewe..
Aiseeee umfikiriaye sio mimi. Duh!!!
 
unajitetea dawa ya deni ni kulipa uwe unalipa madeni ya watu sio kuzima simu.

unafikiri kutumia ID feki hutajulikana????

Aiseee duh
Unaniandika hivi kama vile mimi ni nani haswaaa?
Kama unadai bora huyo mtu hasikulipe kabisa.. au akusaidie uende milembe kwanza uishi huko.
 
Ha ha ha ha kweli wewe ni kichekesho Mimi kwenda mirembe kunauhusiano gani wa wewe kulipa madeni ya watu???

Alafu ukikurupuka usingizi usubiri usingizi uishe kwanza ndo ujibu. Ulichoandika hapo hata mtoto wa form two atakushangaa.
 
Pole mleta mada, hilo wazo lako sisemi kwamba ni baya ila mimi binafsi sikushauri kufanya hivyo.

Watu wa siku hizi wamegeuka kua nusu wanyama, unaweza kutafuta mtu kua mama yako wa hiari lakini matokeo yake ukawa umetafuta balaa.

Mkuu be strong, mimi nilifiwa na wazazi wangu nikiwa darasa la 5, baba yangu alifariki sijaingia hata shule ya msingi then mama akafariki nikiwa std 4, siwezi kukusimulia ni kiasi gani nimeteseka kwa kuishi na ndugu, nimenyanyasika mno, nimeishi na kaka zangu wakati nasoma, wake zao wamenifanyia mambo ya ajabu sitakuja kusahau mpaka nakufa.

Mpaka hapa nilipofika sijisifu ila namshukuru Mungu, nimetoboa shule kwa shida mno tena mno, watu wengine wote niliosoma nao primary waliishia Form 4, niliosoma nao form 4 wengi waliishia hapo form 4, Mungu mkubwa niliweza kutoboa mpaka chuo kwa mbinde mnooo.
Baada ya kufaulu form 5 ndio atleast shemeji zangu wakaanza kuhisi mimi ni binadamu.

Naishia hapa, kuna wakati nammiss sana mama, kuna wakati natamani niwe na mama yangu ili nikipata hata shilingi elfu moja nimpelekee, yaani nikipata likizo kazini hua natamani nikienda home nimkute mama yangu, nimbebee mazagazaga kibao.

Hua nikiwaza mambo ya mama siku yangu inaweza kuishi hovyo sana.

Nakomaa, sasa nina familia, nina watoto, nina mke, nina kazi, uhakika wa ugali na mambo madogo madogo upo. Namshukuru Mungu sana, ila mke wangu bado hawezi kuziba nafasi ya mama yangu hata kwa 0.5%.

Komaa na maisha, jikaze kiume.
 
Aiseeee inaelekea hiyo biashara yako bado inakupiga kwa kukosa ujuzi.. lipa madeni.. jifunze kujiongeza.. sio kuja kuniandika kama vile umenikopesha.. ha ha haaaaa
Upinzani wewe kweli umeishiwa... kufwaaaah kabisa
 
Pole mleta mada, hilo wazo lako sisemi kwamba ni baya ila mimi binafsi sikushauri kufanya hivyo.

Watu wa siku hizi wamegeuka kua nusu wanyama, unaweza kutafuta mtu kua mama yako wa hiari lakini matokeo yake ukawa umetafuta balaa.

Mkuu be strong, mimi nilifiwa na wazazi wangu nikiwa darasa la 5, baba yangu alifariki sijaingia hata shule ya msingi then mama akafariki nikiwa std 4, siwezi kukusimulia ni kiasi gani nimeteseka kwa kuishi na ndugu, nimenyanyasika mno, nimeishi na kaka zangu wakati nasoma, wake zao wamenifanyia mambo ya ajabu sitakuja kusahau mpaka nakufa.

Mpaka hapa nilipofika sijisifu ila namshukuru Mungu, nimetoboa shule kwa shida mno tena mno, watu wengine wote niliosoma nao primary waliishia Form 4, niliosoma nao form 4 wengi waliishia hapo form 4, Mungu mkubwa niliweza kutoboa mpaka chuo kwa mbinde mnooo.
Baada ya kufaulu form 5 ndio atleast shemeji zangu wakaanza kuhisi mimi ni binadamu.

Naishia hapa, kuna wakati nammiss sana mama, kuna wakati natamani niwe na mama yangu ili nikipata hata shilingi elfu moja nimpelekee, yaani nikipata likizo kazini hua natamani nikienda home nimkute mama yangu, nimbebee mazagazaga kibao.

Hua nikiwaza mambo ya mama siku yangu inaweza kuishi hovyo sana.

Nakomaa, sasa nina familia, nina watoto, nina mke, nina kazi, uhakika wa ugali na mambo madogo madogo upo. Namshukuru Mungu sana, ila mke wangu bado hawezi kuziba nafasi ya mama yangu hata kwa 0.5%.

Komaa na maisha, jikaze kiume.
Asante sana Mkuu kwa ushauri mzuri nakunitia moyo hakika waga ninaumia saana napo jikuta sina mama afu watu wengine wao wameuuchukulia ujumbe Wang visivyo lakin kiukweli huwa napata wakati mgum sana kwenye hali hii sometime nasema bora ningelitangulia mm kuliko yeye lakin ndio mapenzi ya Mungu aliamua iwe hivo asante sana mkuu mungu akuzidishie moyo huo nilijua niko peke angu ambae napitia wakati huu mgum wakutokua na mama
 
Pole sana mdogo wangu!!!
Hao wanaosema mams mpaka akuzae wanakosea,wapo wanawake wenye upendo mkuu . Mama ndo kila kitu ukimkosa inauma sana, ni wachache sana watakuelewa hapa. Natamani ningekuwa na umri mkubwa nimpate mtoto kama wewe apo aniite mama, ni heshima kubwa sana!!!!
 
Asante sana Mkuu kwa ushauri mzuri nakunitia moyo hakika waga ninaumia saana napo jikuta sina mama afu watu wengine wao wameuuchukulia ujumbe Wang visivyo lakin kiukweli huwa napata wakati mgum sana kwenye hali hii sometime nasema bora ningelitangulia mm kuliko yeye lakin ndio mapenzi ya Mungu aliamua iwe hivo asante sana mkuu mungu akuzidishie moyo huo nilijua niko peke angu ambae napitia wakati huu mgum wakutokua na mama
Hii dunia usipokua na roho ngumu kila jambo litakutoa machozi.
Kaza moyo ndugu yangu, mimi nakaza moyo na sikuwahi kua tayari kushindwa tangu nikiwa shule mpaka leo, neno kufeli sitakikulisikia, kubaliana hali kwamba huna mama pambana, jitahidi ulinde damu yako ili usiwache wanao mapema wakapata shida, na jitahidi sasa uwe na familia kidogo utapata faraja.

kua na familia mimi imenisaidia kiasi flani, japo kuna wakati nakua stressed sana tena nikimkumbuka mama yangu, hata ndugu kama dada, kaka, mama mdogo, mama mkubwa, mjomba wote hawana mapenzi ya kweli zaidi ya kunitafuta wanapokua wanataka pesa zangu na wanapokua wamekwama wanahitaji mawazo yangu na hasa hasa pesa.
 
Back
Top Bottom