Mama wa John Heche aenda police central. "Mrudisheni Mtoto wangu”

Write your reply...kumbe limama lake nalo lihalifu na pia linatibiwa india inatakiwa lingetandikwa viboko nalo
For sure Kwa hizi chuki mnazoo zipandikiza..

Tungekua tuna onana ama ungekua karibu na familia ya heche ungesogezewa maumivu kwa familia..

Nimesikiliza clip ya ndugu na kaka zake heche nimesisimka na pamoja na moyo wangu mgumu nimejikuta machozii yamenitoka..

Unadhani wewe hapo mpendwa wako akifanyiwa Unyama utakuja kuandika hapa? kukejeri na kutoa dhihaka kwa maisha ya mtu/ watu.

Kama heche ana makosa apelekwe mahakamani au ndugu zake waambiwe Ndugu Yao yupo wapi..
 
hata mimi napata maumi hayo tena pengine ni zaid pale anapotukananwa matusi makubwa rais samia halafu nyie mnachekelea
 
Sawa ndugu Kuna mambo tusikubaliane...kukabaliana ni sawa ila linapo kuja suala la uhai wa BINADAMU.... For sure tuweke TOFAUTI zetu pembeni.

Mizaha, kejeri na lugha ya maudhii zisizo na staha zisizo faa zisi ingine kabisa....
Haya mambo yanaweza kuku geukia hata ukiwa mama SAMIA supporters..wakati mwingine ni Bora kuto comment toxicity kabisa
 
wewe unaona sawa anachofanyiwa mh rais? Uliwahi kemea?
 
Kwenye mazuri nayasema kwenye mabaya nasema.

Wewe ulishawai kukemea utekaji? Uhuni, ulaghai, propaganda chafu za Wana CCM mtandao na uvunjwaji/ukiukwaji mkubwa wa haki za watanzania wenzetu wanao potea bila taarifa yoyote/ Huku mamlaka za serikali zikisema kua wanejiteka kujipoteza wenyewe.
 
Back
Top Bottom